mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,708
- 10,413
Ubaya ubwelaNi kweli kabisa....na mwanamke pia vivyohivyo
Ubaya ubwelaNi kweli kabisa....na mwanamke pia vivyohivyo
Moja ya Uzi bora kabisa kwa 2024 mpaka 2025.Morning members.
Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.
Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili uone tofauti.
Mungu kasema wapi kuhusu nyie kuwa na wawili?Hapana mungu hajasema hivyo.
Ni kweli kabisa....na mwanamke pia vivyohivyo
Nitajie mwanamke aliyeolewa na mwanaume zaidi ya mmoja kwenye maandiko yeyote yaleNi kweli kabisa....na mwanamke pia vivyohivyo
Utamjuaje ni sahihi? Paulo kakuathiri sanaUkimpata mmoja sahihi anatosha kabisa
(bidhaa) mama yako ni bidhaa ya bei ganiMi kwa upande wangu kikwazo ni imani na uchumi ila kiukweli mke 1 sio bidhaa ya kumiliki hadi kifo
Wake wengi ndio utaratibu mzuri
Wazee wetu wa imani hawakuoa mke 1 labda kuanzia agano jipya ila İbrahim, Yakobo, Daudi, Suleman na wengine najuta kutowaiga upande wa kuoa