Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,958
- 32,452
Ukijihusisha na hayo yote yatakuhusu.
Maisha hayataki uruke Kurasa.
Ukiruka yatakuchanganya.
Maisha hayataki uruke Kurasa.
Ukiruka yatakuchanganya.
Pambana baba watoto tu enjoy kuanzia ujanani mpaka uzeeni!!Ngoja niendelee kupambana mama gwamaka ili uje ufurah
Ukifingua mdomo wako nakutamka neno nakupenda ndio matatizo yako yanapoanzia😆Kiukwel haya mateso hata mimi toka niachwe na ex-yf, sina kabisa mateso ya kijinga jinga haya. Kila nikikutana na wadau wanashangaa "mbona unanawiri siku hizi?"😂
Sitakuangusha ngoja nizidi kukaza buti hakuna kulala kabisaPambana baba watoto tu enjoy kuanzia ujanani mpaka uzeeni!!
Sisi vya kwetu vinaanzia kwenye ubongo,nyie vyenu Ni auto kikijaa kimejaa na lazima kikisumbue!!Hakuna watu wenye upwiru kama nyie , sema mnazuga tu ili vijana wajichnganye🤣
Mungu akufanyie wepesi Kwa Ajili yangu na akina Uswege&Gwamaka!!Sitakuangusha ngoja nizidi kukaza buti hakuna kulala kabisa
Kujaa sio tatizo ata nyero inazawazisha tu😅Sisi vya kwetu vinaanzia kwenye ubongo,nyie vyenu Ni auto kikijaa kimejaa na lazima kikisumbue!!
Sometimes kichwa kinagoma la mkono kinataka kitu halisia 🤣🤣🤣🤣🤣Kujaa sio tatizo ata nyero inazawazisha tu😅
Naloli ndaga 🙏🙏Mungu akufanyie wepesi Kwa Ajili yangu na akina Uswege&Gwamaka!!
Ndaga fijo(nimepatia au nimeingia Chaka🤓🤓🤓)Naloli ndaga 🙏🙏
Mdogo mdogo utaweza tuNdaga fijo(nimepatia au nimeingia Chaka🤓🤓🤓)
Hii mali safi?Kuna hii expense pia umesahau
View attachment 3409781
Hapa ata ukichomwa moto wa milele sahihiKuna hii expense pia umesahau
View attachment 3409781
Kwahiyo mkuu nazichapaje sasa...? Inabid iwepo hata ya uongo uongo usife na upwiruUkifingua mdomo wako nakutamka neno nakupenda ndio matatizo yako yanapoanzia😆