Maana yake wewe ni mtu wa mazoezi au kazi ngumungumu ndio maana mwili wako una uhitaji wa chakula cha kutoshaNdo ivo mkuu , nikila kiduchu huwa sijihisi nmeshiba
Niliwah kwenda mahali, wanauza viugali jerojero
Ilibidi niwe nakula Vitatu vitatu tu na nyama ya kunyoma yakutosha [emoji23]