Mwanaume laini laini hamalizi huu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,023
71,229
Kisha upate Papai , Unywe Maji Nusu Lita

Baadae Upige shooo shooo

Ataanzaje kukuletea mapozi?

IMG_20201219_215233_189.jpg
 
Mimi sio mwanaume wa darisalama ila swala la kula inategemea kazi anayofanya mtu au mazoezi.

Huwezi kula chakula kingi kama kipo muda wote alafu hufanyi mazoezi
Ndo ivo mkuu , nikila kiduchu huwa sijihisi nmeshiba

Niliwah kwenda mahali, wanauza viugali jerojero

Ilibidi niwe nakula Vitatu vitatu tu na nyama ya kunyoma yakutosha
 
Back
Top Bottom