Mwanaume kwanini utembee na mke wa mwanaume mwenzio?

Wakuu, huu uzi sio mwembamba kama ambavyo mnauchukulia kiwepesi hivyo, zameni ndani zaidi ili kupata tatizo, kisha mtafute tiba yake,, Nikweli hali hio imeshamiri sana hasa ktk mataifa mengi, TATIZO KUBWA HAPO linakuja baada ya ninyi kufunga ndoa au hata kuishi bila ndo, lengo ni kuwa family ktk maisha yakila siku, ktk maisha ya ndoa au unyumba ,kuna vitu huwa vinajitokeza automatic ambavyo havina suluhisho na nijanga kubwa sana japo huwa halijionyeshi ktk hadhara, jambo hili?NIKULE KUTO FURAHIA TENDO LA NDOA HASAHASA KW WAKE ZETU HAWA,kule kutomtosheleza mwamke ndiko kumezua haya yooote ,, Mke humtumi akatosheka una mwagiamwagia tu, unashuka wakat mke anatakiwa ALIWE kisawasawa hadi umtoeham,, Ndio kazi kubwa waluoumbiwa na mungu, mengine ziada tu, Ukishindwa kufanya hivyo juwa mke atapeleka ikasuguliwe vizuri nawasuguaji, lakini pia upande wao hawa jike wawe ni wenye kumbembeleza dume wakati dume lipo kazini, Hasa pale linapokuwa limepumzika ktk raund ili kumhamasishia hisia ili apande tena kizimbani kutoa hukum yandoa, Mwanamke nikiumbe kaumba kwa kazi hio kubwa, tena uki t0...mb....!! Vizuri akarizika " utamuona ananawiri nundu chuchu,muonekano wake unakutamanisha muda wote,hana hasira ni kucheka na matabasam yakufamtu, Usipo fanya hivyo, utamuona anajisonya mara kw mara, kanuna nuna tu,hasira hazimuishi tena anaweza kuchapa hata watoto bila hata sababu zamsingi, kwahio wacha waliwe kama waume zao WABOVU!!"

hhahahahahaa ngoja nicheke jtatu ngumu sana hii !mngepatikana kama nyie waau kila mkoa mkawa kama 500 wanwake tungekuwa na tabasamu weeeeeeeeeeee!

mke humkojoz, bas hata kumjali umjali humjali upo tu km zezeta,hujui hata anavaa nn ,yaan wewe upo tu ova unaishi naye kigheto gheto !MSILALAMIKE
 
hatuwatongozi hao huku kwetu wanajitongozesha wenyewe na wanaliwa balaa
 
hhahahahahaa ngoja nicheke jtatu ngumu sana hii !mngepatikana kama nyie waau kila mkoa mkawa kama 500 wanwake tungekuwa na tabasamu weeeeeeeeeeee!

mke humkojoz, bas hata kumjali umjali humjali upo tu km zezeta,hujui hata anavaa nn ,yaan wewe upo tu ova unaishi naye kigheto gheto !MSILALAMIKE
 
Ifike mahala wanaume tuoneane huruma, mwanaume mwenzako anatoa posa, anatoa mahari anaoa mwanamke. Anamvesha anamlisha anamgharimia kila kitu kwa moyo wake wote unakuta mwanaume mwingine anayejua kuwa huyu ni mke wa mtu anakuwa naye kwenye uhusiano.

Wapo wanawake wadhaifu wakitongozwa kukataa hawawezi ndo hilka ya baadhi ya wanawake lakini wanaume tukiwa na roho ya huruma kwa wanaume wenzetu tunaweza komesha ufuska na tabia hii chafu.

Wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi sana hao hawana kipingamiza wala hutolaumiwa na yeyote. Wapo wanawake wengi wanajiuza inakuwaje uparamie mke wa mwanaume mwenzako.

Wanaume tukiamua kujitetea na kukomesha tabia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wanawake maana hawatasumbuliwa pia wataepukana na vishawishi.

USITONGOZE WALA KUWA NA UHUSIANO NA MKE WA MWANAUME MWENZAKO. WANAUME TUPENDANE TUONEANE HURUMA.
Kwa nini wasikatae?
Pole sana kwa kuchapiwa anyway!
 
hhahahaha mwandende JR nimecheka kwa ngv jaman najuta kulog in aisee !dah eti anakuja na mapochopocho ....hahahaha hufi njaaaa !dah !
Kweli mkuu....unakuta NYAMA zote nono kama MAPAJA...VIDARI unaletewa wewe.....wakati mume anawekewa VIKWAPA vya kuku...mume akihoji kulikoni anasingiziwa PAKA wa jirani...mkuu mke wa mtu usiombe akupende.....mimi nilikuwa nampangia hata siku ya kumpa BUMUNDA....mbaya zaidi anakueleza udhaifu wote wa mumewe..mara KIBAMIA..mara dk tatu HOI.....
 
na wako anamuelzea mchepuko wako kwahiy bila bila
 
Tatizo si wanaume ila ni udhaifu wa wanawake kwasababu hawalazimishwi. Hata ukienda mahakamani bado hakimu atakuhoji kama mkeo alilazimishwa. Cha muhimu wote mkishaingia kwenye ndoa basi mvumiliane kwani mlichaguana wenyewe.
Mkuu usije ukaniponza nifumue mke wa mtu alafu nifungwe, kweli mahakama inauliza hivyo?
 
Mimi nakung'utiwa na mahawara zake wa zamani kabla sijamuoa ila kumuacha siwezi, naishia kupiga mikwara tu,siwezi kumwacha kwasababu tayari nina watoto wawili nilioazaa naye,nawapenda sana wanangu sitokubali walelewe na Mama wa kambo la sivyo mama yao amekufa au kaamua kuniacha mwenyewe,bahati nzuri sana tangu nilipogundua jamaa wanammung'unya hata mzuka naye sina kabisa, nimejitafutia MFARIJI saafi maisha yanaendelea.
 
hakuna dhambi ngumu kuisho nayo kama kuishio na mtu na umekata hisia naye !yaan ni kama umekanyaga moto unahis unaungua na bado umekalia kaa tu !dah !

pole !i can feelu
 
haya mambo huwa hayaeleweki kuna mke wa mtu anatembea na jamaa kamfanya kama mume mdogo yani mpaka anasafiri nae kwenda mikoani alivyo na mashauzi sasa kila jambo utamuona anajirusha face book mpaka room aliyofikia huwa tunajiuliza hivi huyu mume wake hamstukii mkewe manake mke ni shangingi tu la nyumbani halina ajira wala biashara lakini akishaaga kwenda huko mikoani mpaka vindege anapanda kibongo bongo mume hausiki na hiyo nauli hata kidogo hapo kwa kuwa safari kaizusha mke ,hapo kazugika na viruti vya ndege mana jamaa hana hela ya kumhonga mpaka akapagawa hivyo mbaya zaidi mume ni yanki mchepuko ni wa kizee kufa mtu hapo ndio utaona ndoa hakuna kwa sasa alafu kutwa kumchoresha mumewe facebook kama yeye ni wife material kumbe anazuga.
 
Wakuu, huu uzi sio mwembamba kama ambavyo mnauchukulia kiwepesi hivyo, zameni ndani zaidi ili kupata tatizo, kisha mtafute tiba yake,, Nikweli hali hio imeshamiri sana hasa ktk mataifa mengi, TATIZO KUBWA HAPO linakuja baada ya ninyi kufunga ndoa au hata kuishi bila ndo, lengo ni kuwa family ktk maisha yakila siku, ktk maisha ya ndoa au unyumba ,kuna vitu huwa vinajitokeza automatic ambavyo havina suluhisho na nijanga kubwa sana japo huwa halijionyeshi ktk hadhara, jambo hili?NIKULE KUTO FURAHIA TENDO LA NDOA HASAHASA KW WAKE ZETU HAWA,kule kutomtosheleza mwamke ndiko kumezua haya yooote ,, Mke humtumi akatosheka una mwagiamwagia tu, unashuka wakat mke anatakiwa ALIWE kisawasawa hadi umtoeham,, Ndio kazi kubwa waluoumbiwa na mungu, mengine ziada tu, Ukishindwa kufanya hivyo juwa mke atapeleka ikasuguliwe vizuri nawasuguaji, lakini pia upande wao hawa jike wawe ni wenye kumbembeleza dume wakati dume lipo kazini, Hasa pale linapokuwa limepumzika ktk raund ili kumhamasishia hisia ili apande tena kizimbani kutoa hukum yandoa, Mwanamke nikiumbe kaumba kwa kazi hio kubwa, tena uki t0...mb....!! Vizuri akarizika " utamuona ananawiri nundu chuchu,muonekano wake unakutamanisha muda wote,hana hasira ni kucheka na matabasam yakufamtu, Usipo fanya hivyo, utamuona anajisonya mara kw mara, kanuna nuna tu,hasira hazimuishi tena anaweza kuchapa hata watoto bila hata sababu zamsingi, kwahio wacha waliwe kama waume zao WABOVU!!"
Mhhh!
 
Back
Top Bottom