MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,050
Nimeshindwa kumuelewa kwa kweli..hebu nisaidie kunieleweshahahahahhahaha dah
Wakuu, huu uzi sio mwembamba kama ambavyo mnauchukulia kiwepesi hivyo, zameni ndani zaidi ili kupata tatizo, kisha mtafute tiba yake,, Nikweli hali hio imeshamiri sana hasa ktk mataifa mengi, TATIZO KUBWA HAPO linakuja baada ya ninyi kufunga ndoa au hata kuishi bila ndo, lengo ni kuwa family ktk maisha yakila siku, ktk maisha ya ndoa au unyumba ,kuna vitu huwa vinajitokeza automatic ambavyo havina suluhisho na nijanga kubwa sana japo huwa halijionyeshi ktk hadhara, jambo hili?NIKULE KUTO FURAHIA TENDO LA NDOA HASAHASA KW WAKE ZETU HAWA,kule kutomtosheleza mwamke ndiko kumezua haya yooote ,, Mke humtumi akatosheka una mwagiamwagia tu, unashuka wakat mke anatakiwa ALIWE kisawasawa hadi umtoeham,, Ndio kazi kubwa waluoumbiwa na mungu, mengine ziada tu, Ukishindwa kufanya hivyo juwa mke atapeleka ikasuguliwe vizuri nawasuguaji, lakini pia upande wao hawa jike wawe ni wenye kumbembeleza dume wakati dume lipo kazini, Hasa pale linapokuwa limepumzika ktk raund ili kumhamasishia hisia ili apande tena kizimbani kutoa hukum yandoa, Mwanamke nikiumbe kaumba kwa kazi hio kubwa, tena uki t0...mb....!! Vizuri akarizika " utamuona ananawiri nundu chuchu,muonekano wake unakutamanisha muda wote,hana hasira ni kucheka na matabasam yakufamtu, Usipo fanya hivyo, utamuona anajisonya mara kw mara, kanuna nuna tu,hasira hazimuishi tena anaweza kuchapa hata watoto bila hata sababu zamsingi, kwahio wacha waliwe kama waume zao WABOVU!!"
Nimeshindwa kumuelewa kwa kweli..hebu nisaidie kunielewesha
Huenda amezaliwa mombasa !ana vinasaba vileeeeeeeeee
WAKE ZA WATU TATZO WANAJILENGESHA WENYEWE, NA WANAUME PIA NI MADHAIFU ANAKULA MZGO. Waambien wake zenu watulize mapaja yao
hhahahahahaa ngoja nicheke jtatu ngumu sana hii !mngepatikana kama nyie waau kila mkoa mkawa kama 500 wanwake tungekuwa na tabasamu weeeeeeeeeeee!
mke humkojoz, bas hata kumjali umjali humjali upo tu km zezeta,hujui hata anavaa nn ,yaan wewe upo tu ova unaishi naye kigheto gheto !MSILALAMIKE
Kwa nini wasikatae?Ifike mahala wanaume tuoneane huruma, mwanaume mwenzako anatoa posa, anatoa mahari anaoa mwanamke. Anamvesha anamlisha anamgharimia kila kitu kwa moyo wake wote unakuta mwanaume mwingine anayejua kuwa huyu ni mke wa mtu anakuwa naye kwenye uhusiano.
Wapo wanawake wadhaifu wakitongozwa kukataa hawawezi ndo hilka ya baadhi ya wanawake lakini wanaume tukiwa na roho ya huruma kwa wanaume wenzetu tunaweza komesha ufuska na tabia hii chafu.
Wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi sana hao hawana kipingamiza wala hutolaumiwa na yeyote. Wapo wanawake wengi wanajiuza inakuwaje uparamie mke wa mwanaume mwenzako.
Wanaume tukiamua kujitetea na kukomesha tabia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wanawake maana hawatasumbuliwa pia wataepukana na vishawishi.
USITONGOZE WALA KUWA NA UHUSIANO NA MKE WA MWANAUME MWENZAKO. WANAUME TUPENDANE TUONEANE HURUMA.
Yaonesha anampenda sana mke wake ila mke wake ni cha wote!Hahahahaaaaaa mtoa mada umeandika kwa hisia.......pole sana
Kweli mkuu....unakuta NYAMA zote nono kama MAPAJA...VIDARI unaletewa wewe.....wakati mume anawekewa VIKWAPA vya kuku...mume akihoji kulikoni anasingiziwa PAKA wa jirani...mkuu mke wa mtu usiombe akupende.....mimi nilikuwa nampangia hata siku ya kumpa BUMUNDA....mbaya zaidi anakueleza udhaifu wote wa mumewe..mara KIBAMIA..mara dk tatu HOI.....hhahahaha mwandende JR nimecheka kwa ngv jaman najuta kulog in aisee !dah eti anakuja na mapochopocho ....hahahaha hufi njaaaa !dah !
Kweli mkuu....unakuta NYAMA zote nono kama MAPAJA...VIDARI unaletewa wewe.....wakati mume anawekewa VIKWAPA vya kuku...mume akihoji kulikoni anasingiziwa PAKA wa jirani...mkuu mke wa mtu usiombe akupende.....mimi nilikuwa nampangia hata siku ya kumpa BUMUNDA....mbaya zaidi anakueleza udhaifu wote wa mumewe..mara KIBAMIA..mara dk tatu HOI.....
Mkuu usije ukaniponza nifumue mke wa mtu alafu nifungwe, kweli mahakama inauliza hivyo?Tatizo si wanaume ila ni udhaifu wa wanawake kwasababu hawalazimishwi. Hata ukienda mahakamani bado hakimu atakuhoji kama mkeo alilazimishwa. Cha muhimu wote mkishaingia kwenye ndoa basi mvumiliane kwani mlichaguana wenyewe.
Mkuu usije ukaniponza nifumue mke wa mtu alafu nifungwe, kweli mahakama inauliza hivyo?
Mimi nakung'utiwa na mahawara zake wa zamani kabla sijamuoa ila kumuacha siwezi, naishia kupiga mikwara tu,siwezi kumwacha kwasababu tayari nina watoto wawili nilioazaa naye,nawapenda sana wanangu sitokubali walelewe na Mama wa kambo la sivyo mama yao amekufa au kaamua kuniacha mwenyewe,bahati nzuri sana tangu nilipogundua jamaa wanammung'unya hata mzuka naye sina kabisa, nimejitafutia MFARIJI saafi maisha yanaendelea.
Mhhh!Wakuu, huu uzi sio mwembamba kama ambavyo mnauchukulia kiwepesi hivyo, zameni ndani zaidi ili kupata tatizo, kisha mtafute tiba yake,, Nikweli hali hio imeshamiri sana hasa ktk mataifa mengi, TATIZO KUBWA HAPO linakuja baada ya ninyi kufunga ndoa au hata kuishi bila ndo, lengo ni kuwa family ktk maisha yakila siku, ktk maisha ya ndoa au unyumba ,kuna vitu huwa vinajitokeza automatic ambavyo havina suluhisho na nijanga kubwa sana japo huwa halijionyeshi ktk hadhara, jambo hili?NIKULE KUTO FURAHIA TENDO LA NDOA HASAHASA KW WAKE ZETU HAWA,kule kutomtosheleza mwamke ndiko kumezua haya yooote ,, Mke humtumi akatosheka una mwagiamwagia tu, unashuka wakat mke anatakiwa ALIWE kisawasawa hadi umtoeham,, Ndio kazi kubwa waluoumbiwa na mungu, mengine ziada tu, Ukishindwa kufanya hivyo juwa mke atapeleka ikasuguliwe vizuri nawasuguaji, lakini pia upande wao hawa jike wawe ni wenye kumbembeleza dume wakati dume lipo kazini, Hasa pale linapokuwa limepumzika ktk raund ili kumhamasishia hisia ili apande tena kizimbani kutoa hukum yandoa, Mwanamke nikiumbe kaumba kwa kazi hio kubwa, tena uki t0...mb....!! Vizuri akarizika " utamuona ananawiri nundu chuchu,muonekano wake unakutamanisha muda wote,hana hasira ni kucheka na matabasam yakufamtu, Usipo fanya hivyo, utamuona anajisonya mara kw mara, kanuna nuna tu,hasira hazimuishi tena anaweza kuchapa hata watoto bila hata sababu zamsingi, kwahio wacha waliwe kama waume zao WABOVU!!"