....umeona ee? mimi niliandika ambaye hajawahi kuwadiwa/kumkuwadia mtu anyoshe kidole, kila mtu kwa nafsi yake huko alipo!
Ushawahi panga afu mama mwenye nyumba ana binti afu na wewe ni bachala
Utakomaje,
Utasikia, hebu kamfulieni TF nguo, mbona mnakuwa hamna adabu.
Kasafisheni na chumba chake na vyombo muoshe.
Kama ulikuwa unajipikia mwenyewe, unaanza kuletewa take away, mwishowe na wewe unaanza kuchangia
Ukizubaa, unaoa kabisa.
Hebu mwangalie bht kwa karibu asije kuwa na tindikali, nataka kumkuwadia :bowl:msukuma kwa kitu cheupeee.
Mi nishawahi kufanya na kufanyiwa .......
Tena nilimfanyia shoga yangu aliyekuwa anamtaka kaka yangu
And I'm proud to say I was such a good kuwadi kiasi cha kuwa wameoana na wameishi 10 sasa na watoto 3 juu
Way to go #Makuwadi
Hapa ndipo presha hunipanda
Unakuta mama wa mtoto anamuuza bintite
Tena under 18 kwa biaya na nyana chona
So sad kwa kweli.
yaani Kongosho ukitaka ugomvi wa ukweli na mimi ingia anga za msukuma...wallah sina mzaha, wewe na unayemkuwadia tindikali concentrated itawahusu tu...
kuwadi wa kike...
enheee ilikuwaje vile?
Hahahaha!!! Kongosho najaribu kupiga pichaUshawahi panga afu mama mwenye nyumba ana binti afu na wewe ni bachala
Utakomaje,
Utasikia, hebu kamfulieni TF nguo, mbona mnakuwa hamna adabu.
Kasafisheni na chumba chake na vyombo muoshe.
Kama ulikuwa unajipikia mwenyewe, unaanza kuletewa take away, mwishowe na wewe unaanza kuchangia
Ukizubaa, unaoa kabisa.
Eheeeeeee!!!! TaiJikeNtamshughulikia pia hahahaaaa.....
Mbu unajua makali ya bht hhayashikiki kabisa anaweza akaondoka na bandama kama sio Kongosho lako kwenye hii thread...lolKwani unadhani hawaelewi somo? Basi tu.....mkuki kwa nguruwe, leo wameyashika makali wanajitia sintofahamu...
Kongosho unaingia kwenye 18 za bht huyo ngoja uje umwagiwe pipa la tindikali uone kazi yake siko tayari kukupeleka india kwa ajili ya surgery...lolHebu mwangalie bht kwa karibu asije kuwa na tindikali, nataka kumkuwadia :bowl:msukuma kwa kitu cheupeee.
Hana hadhi hata ya kusutwa live kwenye show ta Gatsby Salon sembuuse CNN na Larry King?
yaani Kongosho ukitaka ugomvi wa ukweli na mimi ingia anga za msukuma...wallah sina mzaha, wewe na unayemkuwadia tindikali concentrated itawahusu tu...
Khaa alokwambieni kuwadi shurti awe mwanamme kawapotezaaaaaa. Ukuwadi hauna jinsia
Upo?
Na ukitaka tindikali sema nna kiwanda [kuwadi kazini....Bwa!ha!ha!ha!]
Nimemwambia kuna pipa tahadhari kabla ya hatari....lolyaani Kongosho ukitaka ugomvi wa ukweli na mimi ingia anga za msukuma...wallah sina mzaha, wewe na unayemkuwadia tindikali concentrated itawahusu tu...
Hebu nielezeni tatizo la mtu kuwa kuwadi manake mpaka sasa hivi sijaliona kabisa kabisa :rolleyez:
Yale ya mama yake Lulu kudaiwa kusema ati lulu ndo alikuwa bread winner kwao! Mama mzima anafaa kuwa nyumba ndogo ya mtu kama sio kuuza maandazi kibarazani anategemea mwanae! Wazazi wengine ni wa kucharaza viboko kabisaa!
kuna mtu anajipendekeza sana kumkuwadia msukuma tena anasema bila woga...nipe ile grade one...concentrated sulphuric acid!!!🙂
Leo wamekugusa mtima! Sasa hichi kinyongo si kitakuletea kiungulia mamii! Basi tuwapeleke kwa Salama Jabir