Haya yatafutiwe definition nyingine kwani sioni kama yanafit kwenye maana ya ukuwadi ambayo kaitoa Mheshimiwa sana, ndugu Mbu!!
Kwani kuwadi maana yake inakoma kwenye watu waliocommited tu?
Kuwadi kimsingi wa neno lenyewe ni PIMP yoyote tu
Watu mnataka kuremba mambo yanayowapendeza tu...Kuwadi ni yoyote yule anaeunganisha watu wawili.
Wazungu wana cupid na pimp wakiwa na maana tofauti ila kwetu sisi waswahili wote makuwadi tu
Watu mnataka kuremba mambo yanayowapendeza tu...Kuwadi ni yoyote yule anaeunganisha watu wawili.
Wazungu wana cupid na pimp wakiwa na maana tofauti ila kwetu sisi waswahili wote makuwadi tu
Sasa Mbu mtaa wa pili pale kuna binti ngoja nianze mdogo mdogo hapo kwenye blue kwa mama yake......yategemea umekamata makali, au umekamata mpini....
Wewe jukumu lako unapeleka mboga, vijizawadi, repair ndogo ndogo, na hata kulipia Luku.....utaskia "....karibu tena baba, usiadimike hivyo.....wewe Chausiku msindikize mwenzio...usichelewe kurudi!"
Bht tusimharibie siku bana, huyu TF mchokozi sana....
Nióavyo mie...."penye udhia penyeza rupia." Penye mshiko, kuwadi ataitwa majina mazuri tu, mf "Shem"...."Shoga"...maisha ya kizazi hiki, hata mzazi anamkuwadia mwanae!
Haya yatafutiwe definition nyingine kwani sioni kama yanafit kwenye maana ya ukuwadi ambayo kaitoa Mheshimiwa sana, ndugu Mbu!!
Hahahaha....utanuniwa wewe, khaa? punguza,mwenzio nime dilute na kuwaita "washenga"
Hapa ndipo presha hunipanda
Unakuta mama wa mtoto anamuuza bintite
Tena under 18 kwa biaya na nyana chona
So sad kwa kweli.
Kuwadi kuwadi tu full stop. Mtie hiliki na giligilani haisaidii...
Taratibu unapeleka nyama, LUKU, mchele, gunia la mkaa...msemo wa Mbu mama anakwambia ngoja binti yangu akusindikize akutoe nje....lolHapa ndipo presha hunipanda
Unakuta mama wa mtoto anamuuza bintite
Tena under 18 kwa biaya na nyana chona
So sad kwa kweli.
Akitokea ni same sex na wewe?Ukijileta kama kuwadi ntakwambia nakutaka wewe.
Mimi Mbu hawa watu nawashangaa sana, kuukataa ukuwadi kama vile ni uhaini wakati kwa Kiswahili haipo hivyo kabisa.
Nna shoga yangu mmoja, yeye wala hana tabu huwa anakwambia hasa "kazi ya ukuwadi nipe miye,"
Sasa Mbu mtaa wa pili pale kuna binti ngoja nianze mdogo mdogo hapo kwenye blue kwa mama yake...
Akitokea ni same sex na wewe?
Mbu ndio ee, akiwa anaekuwadiwa ana maslahi, basi kuwadi hubadilishwa jina akaiwa shem, rafiki....na anekuwadiwa akiwa hajagusa mtima, kuwadi sio ataitwa tu kuwadi, bali atanadiwa hasa, na upatu utapigwa