Mwanaume..."KUWADI"

I that case kutoa namba ya simu au kuuza sehemu apendapo kwenda sio ukuwadi......

...mnh, RR kwani kutongozwa unakutafsiri vipi mydear?
 
Kama mjumbe hauwawi, hebu jaribu kumkuwadia mke wa Tripo H au Shawn Michael au The Stongret Man.
Mbona mjumbe anachagua pa kutumwa?

....sababu "pupwe lina msisimko kwa kondoo mwenye manyoya haba!"....
 
Kuwadi ni majasiriasmali aliyejiajiri kama walivyo wajasiriamali wengine....................
Msitukane ajira za watu bana....................................lol
Hahahaha!! Mtambuzi naona unaenda HAND IN HAND na Mbu
 
Last edited by a moderator:
Mbu...utakimbiza watu...lol

Lol, bora umerudi ....uli 'myuti' ghafla!....
Haya bana....nisijekimbiza watu, japo hata Jesus alisema " ....na aliye msafi awe wa kwanza kutupa jiwe!"
 
TF nenda arusha maeneo ya unga ltd,ukifika nipigie simu kuna mdada mmoja hapo nataka unikuwadie.
Wala usihofu mmewe hayupo yuko majuu anabeba mabox.
 
Kuwadi hawezi kuwa mshenga...
Nishawishi kwa mamlaka husika labda lakini kwa kiswahili changu hiki lita na nusu naona sio sahihi
Mbu amempa hilo jina ili watu wasimfikirie "KUWADI" vibaya...lol
 
Last edited by a moderator:
Lol, bora umerudi ....uli 'myuti' ghafla!....
Haya bana....nisijekimbiza watu, japo hata Jesus alisema " ....na aliye msafi awe wa kwanza kutupa jiwe!"
Naona Mtambuzi kaamua kumpa jina la Mjasiriamali
 
Last edited by a moderator:
Kuwadi hawezi kuwa mshenga...
Nishawishi kwa mamlaka husika labda lakini kwa kiswahili changu hiki lita na nusu naona sio sahihi

....TF ananitafutia kesi huyo....mie huo ushenga nimeuweka kwenye " "....lol...
 
TF nenda arusha maeneo ya unga ltd,ukifika nipigie simu kuna mdada mmoja hapo nataka unikuwadie.
Wala usihofu mmewe hayupo yuko majuu anabeba mabox.
Hahahahaha!!! Una balaa wewe nikitolewa nduki...kwanza una shilingi ngapi ili twende sawa?
 
Sidhani kama ni mjadala mpya, ila ntautafutia siku nianzishe sred.
Ngoja tumalizane na kuwadi wa TF kwanza maana kamuudhi bht sana.

 
....TF ananitafutia kesi huyo....mie huo ushenga nimeuweka kwenye " "....lol...
Nilianza kukushuku nikaona mmh mbona unauremba remba ukuwadi kuna nini nyuma ya pazia....lol!
 
Sidhani kama ni mjadala mpya, ila ntautafutia siku nianzishe sred.
Ngoja tumalizane na kuwadi wa TF kwanza maana kamuudhi bht sana.
Hahahaa kweli kuwadi wa TF kanichefua sana...aisee basi tu wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…