Mwanaume..."KUWADI"

Nitaishia kunawa sio? Teh teh teh unafikiri sijui hali ya mambo? Najua kibiriti kimejaa hata utikise vipi hakitoi mlio.

Hahahaaa...nimeshakuambia endelea tu kujipa moyo. Mimi najua Lizzy hapendi mabepari wa Kihaya.

Lakini kwa nini tuandikie mate ilhali na wino upo.

Lizzy Lu njoo ukuje ukate mzizi wa fitna hapa. Wewe unapenda Wasukuma au Wahaya?
 
Tena umwagie kabisa huyu bepari la kihaya
anaona vyaelea anadhani vimefungwa maboya?
Hajui watu wameunda
Angalau ulipize kwa wale waliotaka kummwagia Lizzy Luu

Ntamwagia hydrochloric acid huyo Bishanga.
 
Hahahaaa...nimeshakuambia endelea tu kujipa moyo. Mimi najua Lizzy hapendi mabepari wa Kihaya.

Lakini kwa nini tuandikie mate ilhali na wino upo.

Lizzy Lu njoo ukuje ukate mzizi wa fitna hapa. Wewe unapenda Wasukuma au Wahaya?
Kwani hela ndogo ndogo aka katumbili kadogo aka kinyonyeo kidogo ni msukuma gete gete? Just curious!
 
Tena umwagie kabisa huyu bepari la kihaya
anaona vyaelea anadhani vimefungwa maboya?
Hajui watu wameunda
Angalau ulipize kwa wale waliotaka kummwagia Lizzy Luu
Kongosho ikitokea ujue kabisa hunijui sikujui
 
Last edited by a moderator:
Dah! Niliwahi kumkuwadia mshikaji lakini ndoa ilichukua mwezi mmoja na sku nane tu ikavunjika, kulaleki mzembe akaja kudai hela zake zote za kipindi cha ukuwadi pamoja na raba za adidas ambazo alinipa kwa hiyari yake.
Naomba mnipe pole wakuu.
 
Hahaha Tablet mshikaji alichukua vitu alivyokupa ina maana alichukua hadi na kamba za addidas
 
Hahaha Tablet mshikaji alichukua vitu alivyokupa ina maana alichukua hadi na kamba za addidas

Yep! tena alikuja na mjombaake mkubwa wa jeshi, mzembe nilitoa vitu halafu nikaomba razi kwa lugha ya kabila letu. Mungu atanilipia
 
Yep! tena alikuja na mjombaake mkubwa wa jeshi, mzembe nilitoa vitu halafu nikaomba razi kwa lugha ya kabila letu. Mungu atanilipia

HAhahaha kabla sijaisoma thread hii yote ngoja nianze kwa cheko hili..........................Asa hapo Mungu anakulipia nini shem?!
 
.....kha! The Finest hebu uchune kuni quote mida hii mwj1 anatoka kazini ujue?,...nisijekosa vuliwa soksi mie....lol

Ushapata jibu, au wewe bdo una donge na 'mshenga?'....haha, mjini shule....2012, dunia ni yako, chaguo ni lako....

Mbu, mambo?!
Nakuwekea mto kwenye gari baba wala usipate presha eh Laaziz.

The Finest bana...umekaa naloooooooooo leo ndo umeamua kulishusha!
 
HAhahaha kabla sijaisoma thread hii yote ngoja nianze kwa cheko hili..........................Asa hapo Mungu anakulipia nini shem?!
Jamaa kanizalilisha sana shem. Jamaa wakati wa kujivinjari kabla kuachana alikuwa hata nikimbipu harejeshi lakini lilipobumburuka kaja na kinotebook chake kabisa. Jamaa karekodi mpaka hela ya daladala alokuwa ananipatia niende kuongea na wazazi wa kimwana, CCM mkubwa yule, nyambaaf! (niwie radhi shem, hapa jazba imepanda kidogo).
 
Hukuona? Chupuchupu wamtie ulemavu wifu angu lol

Mmmmhhh,mpe pole Lizzy jamani,mwambie in case of imegense nipo karibu maana kwa sasa naishi maeneo ya arumeru mashariki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…