nnunu tayari umeishaolewa??? Una mabusara sana
Safi sana kaka, may your ndoa idumu.... ila ningependa kweli kujua ili kumridhisha unaweza chukua jina?
Mh na wewe umezidisha sasa, siyo hivyo sirname mfano Mushy, Mwakitalu nk unless othorwise statedAnaitwa nani jamaa JOHN RACHEL au ABDALLAH ASHA au JUMA MWANAHAMISI au DAVID ANNA hahaha
Suzy bana ki africa haiwezekani ila kizungu inawezekana. kweli mi nikutolee mahari harafu nitumie jina lako duh sikubali hata kidogo.
Yatosha tu kusema kua japo mapenzi yapo inabidi kuangalia mambo ya msingi ambayo yamekuwepo tokea enzi!...na nyi kina naniliu wa jinsia tofauti na zetu msitusababishe tutengwe na familia kwa kua mwisho wa siku familia hizi hizi ndizo zitakazotustahi pindi yatufikapo makuu km kuitwa mbinguni & mengine yanayofanana na hayo! Pia nitoe tu "tamko" kua bi Asha D atakua mjumbe wa kudumu ktk chama chetu cha kutetea haki za wanaume (CHACHAHAWA)..Uteuzi huu unaanza mara moja!
Sijui ulipotelea wapihapo mi naona kama utabadilisha jina kwenda la mkeo inakuwa wewe ndo umeolewa, kwa hiyo huyo mama ndo itabidi akutolee mahari........
Sijui ulipotelea wapi
Yatosha tu kusema kua japo mapenzi yapo inabidi kuangalia mambo ya msingi ambayo yamekuwepo tokea enzi!...na nyi kina naniliu wa jinsia tofauti na zetu msitusababishe tutengwe na familia kwa kua mwisho wa siku familia hizi hizi ndizo zitakazotustahi pindi yatufikapo makuu km kuitwa mbinguni & mengine yanayofanana na hayo! Pia nitoe tu "tamko" kua bi Asha D atakua mjumbe wa kudumu ktk chama chetu cha kutetea haki za wanaume (CHACHAHAWA)..Uteuzi huu unaanza mara moja!
HONGERA SANA ASHA D ,
kwa kupewa heshima hiyo,
Naomba usinisahau nduguyo japo nami nifaidi faidi matunda ya huo ,
ujumbe wako katika hicho chama cha Chacha Hawa ooh sorry CHACHAHAWA.....lol.
ILA ilo jina la chama inabidi linatamkwe kwa umakini zaidi,
la sivyo tu una weza ukajikuta unatamka jina la mtu.
Aisee muda lakini kidogo nikusahau lolnilikuaga rafiki, labda ulisahau tu............................
Nashukuru sana kwa heshima alonipa H A, ila hilo jina...Yani hapa nnunu niko kufanya mazoezi hapa nisichemke kwenye speech ya ....
Mbona haujajibu swali langu nililokuuliza lolASANTE kwa mtazamo wako juu ya comment yangu,
Busara yangu imesababishwa na UWAZI WAKO,
Hakuna jambo zuri kama kuonesha msimamo wako waziwazi.
Mi nimependa sana ulivyosema wazi hauwezi kubadili
japo nilijitahidi kukushawishi kidogo.
UMEDHIHIRISHA KUWA HAUDANGANYIKI....lol
<br />hapo mi naona kama utabadilisha jina kwenda la mkeo inakuwa wewe ndo umeolewa, kwa hiyo huyo mama ndo itabidi akutolee mahari........
Ni jambo dogo tu mkuu sana Asha D,kwenye vikao vya Chama utakua ukiunga tu mkono hoja zinazotetea maslahi ya wanaume bila kuwakandamiza wanawake ilihali kwenye vikao vya uwakilishi ukipinga hoja zinazokandamiza wanaume...nnunu nitaunda tume ya kufatilia michango yako dhidi ya wenye jinsia usiyokua nayo na nikijiridhisha kua unafaa utaingia moja kwa moja ukipitia viti maalum vya uwakilishi ambavyo ni viwili tu na kimoja tayari nimeshampa mke wangu!
Mbona haujajibu swali langu nililokuuliza lol
Mbona haujajibu swali langu nililokuuliza lol
<br />
<br />
Heri ya mwaka mpya..