Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

Sasa mbona vikitajwa vigezo ambavyo ni vya kawaida na simple kabisa wanawake wana-panic?

Original deal of marriage is loyal and virgin woman in exchange of lifetime provision and protection from a man.

Wanaume bado wanakubaliana na jukumu la ku-provide lakini upande wa wanawake wakiambiwa suala la bikira wanakua wakali au wana-twist narrative.
 
Mambo yametwendea mrama watoto wa 96, hela hamna, watoto hatuna pia mke.
Nadhan tusipotuliza hakili tutajikuta tumo kweny huu mtego.
 
If you can have a choice as a woman, why won't men. It's not hatred, it's preferences.
Jana nilikua namsikiliza bimaza mmoja hivi kapigwa chini na mwamba yupo kitengo huko gavo mwamba alimsotea sana bibimaza akamtia injini mbili zote dume huku kashamlipia mahari kwao ila hakua amemuoa alimuahidi ndoa ni baada ya miezi mitatu baada ya kumlipia mahari ndani ya miezi 3 wangefunga ndoa ila hakumwambia ndoa yao itakuaje yaan preference yake yeye.. likaja suala la kumuoa akamkumbushia mwamba akamwambia yeye preference yake yeye km yeye sio ya kufanya sherehe kubwa bali ya kuandikishiana tu vyeti vya ndoa kwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kwa Mwanasheria then maisha mengine yaende maana mpaka kuishi nae yeye tayari ni mkewe bimaza akakaza anataka sherehe ya kanisani.. mwamba akamwambia isiwe kesi akampiga chini fasta sasa hivi bimaza anatangatanga kusaka haki yake eti alipwe million 10 afanye mtaji wa biashara maana kesi zote alifungua mahakamani mwamba alikua anamshinda na yeye anatoka sifuri maana walifikishana mpaka mahakamani.. anaulizwa vipi jamaa akirudi akasema anataka kukuoa vilevile alivyotaka kwamba bila sherehe upo tayari? Anasema ndio kwa sasa nipo tayari kufunga ndoa bila sherehe nimejifunza kwa hii hali ninayopitia naishi maisha magumu sana bora tu ningekubari nisingekua naishi maisha haya.. anaulizwa kwanini mwanzo ulikataa? Anasema eti alishauriwa na wapuuzi wenzie mashoga zake ikiwemo mama yake asikubari kufunga ndoa ya kuandikishiana cheti tu bila sherehe ndio na yeye akamgomea mwamba kwamba hataki kusaini cheti tu anataka sherehe kubwa na yeye aonekane anaolewa na kibopa.. Hapa ndipo nilipogundua wanawake wanashikiwa akili na wanawake wenzao yanapowakuta wanabaki wenyewe wanatangatanga tu.. mwamba kagoma mpaka kutoa pesa za matunzo kwa watoto maana bimaza ni apeche hana kazi hana kibarua ila mwamba yupo kitengo serikalini safi kabisa.. wanawake sometimes wanazingua sana
 
Wanawake wanatumia nguvu kubwa sana kupotoshana. Mbaya zaidi wakishampotosha mwenzao akaingia shimoni hawatumii nguvu ile ile kumsaidia
 
kabsa kiongoz!
Na unawazungumziaje hawa wadada, wanaosema wanajitafuta bdo?
Wengi wao hicho ni kisingizio tu cha kupata uhuru wa kuishi maisha ya hovyo na kufanya mambo machafu bila kuwajibika kwa yoyote.

Mwanaume jenga maisha yako then oa binti bikira mwenye heshima na tabia njema atakaekua tayari kufuata maono yako. Achana na feminist, career women au hao wanaojiita wapambanaji.
 
kwakwel kiongoz, hawa ma feminist, wanawake wapambanaj wanaharibu kizazi cha nyuma yao.
Imefkia stage kwenye baadhi ya family wanaona ni jambo la kawaida la kumruhusu mtoto wa kike nae akatafute maisha.
Inasikitisha sana
 
Wanawake ni wagumu sana kukubali accountability. Hao feminist, independent women and the likes ukiwatathmini deep down utagundua in their pasts somewhere somehow they stepped outside of nature alignment, insteady of acknowledging their mistake they denied it, and now they want to prove a point. And to prove that look at their demography you will see bitter women, old women past their prime, divorcee e.t.c
 
Kwani huwa unafanya press kusema preference zak?
 
Kwenye mijadala ya hapa na pale kuhusu committed relationship au ndoa, mwanaume akija na preferences za bikira, umri mdogo(18-23), single mother basi atapigwa vita kali sana na wanawake hata kama ana hoja nzuri
 
Wanawake ni wagumu sana kukubali accountability. Hao feminist, independent women and the likes ukiwatathmini deep down utagundua in their pasts somewhere somehow they stepped outside of nature alignment, insteady of acknowledging their mistake they denied it, and now they want to prove a point. And to prove that look at their demography you will see bitter women, old women past their prime, divorcee e.t.c
nakama hawataki kuendeshwa na wanaume, hawataki kwenda na nature na hii desturi wakiendeleza, hapo tutegemee ongezeko la single mother mitaan na nchi kiujumla itapoteza utukufu wa ndoa.

Na watakua wanajimalza wao kwa wao, thaman yao itapungua kwan shetan nae yupo kuwapinga wanawake, kwan yey ndo kitovu cha watu kuongezeka ndo maana tunaona ushoga, uzaz wa mpango na mke bandia(robot).
Ila wao hawastuki
 
Nachojua ni kuwa always cheap is expensive.

Hata Kama I'm broke I can't date broke woman, single mothers, or 30 yrs above.

Mimi Kama Alpha male nakuwa nawatenga wanawake kimakundi

Kama zilivyo bidhaa

Grade one
Grade two
Grade Three

Nikikosa grade one , at least grade two

Ila siwezi kuokota okota ilimradi
It is better to stay single .
Hii comment iwekewe lamination na isomwe kwenye annual reports za UWABATA TAIFA 😆

HAYALAND HUWA UNA MADINI SANAAAAAA

NB. MWANAUME NI HELA/ MWANAMKE NI MATUNZO.
 
kupata bikra is very rare now days kilichobaki you have to chase mwanamke ambaye hajazaa tu

machaguo yanabidi kuzingatia uhalisia uliopo pia katika jamii yako.
 
Mambo yametwendea mrama watoto wa 96, hela hamna, watoto hatuna pia mke.
Nadhan tusipotuliza hakili tutajikuta tumo kweny huu mtego.

Kama lengo unahitaji watoto wawili hakuna umuhimu wa kuoa mapema sana .

kwakuwa ndoa is not about sex ukioa kwa ajili ya sex unakuwa umenunua gari zima ili upate site mirror which is bad.

kama unaingia 30 waweza kuwa umechelewa kuoa na kupata mtoto ila itatetegemea na idadi ya watoto uliokuwa ukiwataka.

mfano unataka two kids ujue ukioa hata ukiwa na 35 bado unakuwa ktk nafasi nzuri .

ujue kuna watu wameo mwaka 2000 ila mpaka muda huu wananunua pampasi

hii inaonesha watu bado hawaelewi maana ya kuoa mapema

kama mke wako hana tatizo la uzazi na umeoa mapema inabidi mzae na mmalize mtumie muda mwingi kujijenga kimaisha na kuwaandalia watoto future yao.

napowaona hawa single father na single mother wanaokimbilia kuzaa bila mipango ya malezi na maisha ujue lazima shida itokee mbele

no exceptional in life.
 
Back
Top Bottom