Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

Kama lengo unahitaji watoto wawili hakuna umuhimu wa kuoa mapema sana .


kwakuwa ndoa is not about sex ukioa kwa ajili ya sex unakuwa umenunua gari zima ili upate site mirror which is bad.

kama unaingia 30 waweza kuwa umechelewa kuoa na kupata mtoto ila itatetegemea na idadi ya watoto uliokuwa ukiwataka.

mfano unataka two kids ujue ukioa hata ukiwa na 35 bado unakuwa ktk nafasi nzuri .


ujue kuna watu wameo mwaka 2000 ila mpaka muda huu wananunua pampasi

hii inaonesha watu bado hawaelewi maana ya kuoa mapema

kama mke wako hana tatizo la uzazi na umeoa mapema inabidi mzae na mmalize mtumie muda mwingi kujijenga kimaisha na kuwaandalia watoto future yao.

napowaona hawa single father na single mother wanaokimbilia kuzaa bila mipango ya malezi na maisha ujue lazima shida itokee mbele

no exceptional in life.
oky mkuu no exceptional at any living man
 
Back
Top Bottom