Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,127
Reaction score
33,510
Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili.

Mwanaume akiongea yale anayoyata kutoka kwa mwanamke, wanawake wengi wanatibuka nyongo. Kwanini? Kwa sababu hawana hivyo vigezo, hawaelewi mantiki ya mwanaume au wanaelewa lakini maelezo yamewapiga kwenye mshono

Mwanaume anaweza akasema anataka mwanamke atakaempa amani. Ni preference ambayo haina ubaya wala madhara lakini wanawake wataibuka na mashambulizi utasikia "anasema hivyo ili akichepuka mkewe asiongee chochote"

Mwanaume anaweza kusema anataka mwanamke bikira. Wanawake watakua wakali utasikia maswali "mama ako aliolewa akiwa bikira", "dada zako bikira?" n.k

Mwanaune anaweza kusema napendelea mwanamke mwenye umri mdogo(19-23). Wasimbe watakua wakali kweli kweli hapo kama vile wao hawajawahi kuwa na huo umri.

Hata mwanaume ukija na hoja za body count, asset vs liability, purity n.k tarajia kupata mashambulizi makali sana kutoka kwa wanawake. Men can't say what they want without women being arguing from their traumas.

Wanawake waelewe kama ambavyo mwanamke asiekua na hela anaweza kusema kwa kujiamini kabisa kwamba anataka mwanaume mwenye hela na akaeleweka, mwanaume pia ana haki ya kusema anataka young woman, bikira, feminine n.k na aeleweke pia.

If you can have a choice as a woman, why won't men. It's not hatred, it's preferences.
 
Wanawake wameweza ku maintain standard zao katika kuchagua nani wa kuwa naye. Nafkiri nature nayo inachangia, mwanamke mara nyingi ndo anafuatwa na mwanaume kwahiyo anakua ana room ya kuweka standard anayoitaka, Kwa upande wa wanaume wengi papara na tamaa ndo zimewafikisha kwenye kushusha standard za aina ya mwanamke wanaomtaka.

Kwa upande mwingine wanaume wachache ambao wako makini kwenye kufanya uchaguzi wa mwanamke wanayemtaka wanajikuta katika hali ya ngumu kwa jamii zao, coz kuna kundi kubwa wanaume ambalo limeshakubaliana na products zilizo sokoni (used) mwendo ni kusagula sagula tuu, ukionekana unakosoa sana na wao wanakukosoa na kukufanya ujione kama vile wewe ndo mwenye matatizo
 
Nachojua ni kuwa always cheap is expensive.

Hata Kama I'm broke I can't date broke woman, single mothers, or 30 yrs above.

Mimi Kama Alpha male nakuwa nawatenga wanawake kimakundi

Kama zilivyo bidhaa

Grade one
Grade two
Grade Three

Nikikosa grade one , at least grade two

Ila siwezi kuokota okota ilimradi
It is better to stay single .
 
Nature inamfavor mwanaume au mwanamke kulingana na phase ambayo yupo katika maisha yake. Wanawake wana early advantage, yaani anaingia kwenye dating pool akiwa na thamani kubwa.

Wajibu wa mwanamke hapo unakua ni kuilinda hiyo thamani maana miaka inavyienda na thamani yake inashuka. Ambapo ili awe in alignment with nature atalazimika kufukuzana na muda yaani suala la kupata mwenza na watoto amalizane nalo pale kwenye 20's.

Mwanaume anaingia kwenye dating pool akiwa hana thamani, wajibu wake ni kuitengeneza. Kadili umri unavyoenda na thamani ya mwanaume inapanda, muda unamfavor mwanaume.

Hili ni tatizo na mara nyingi vijana wasiokua na uzoefu wa mahusiano mengi ndio huwa wanaangukia kwa wanawake wabovu. Kukosa uzoefu kunawafanya washindwe kujua manipulations na trick codes za wanawake, vilevile kwa sababu wanakua na ukame sana wa sex hii inapelekea kuji-commit kwenye mahusiano kirahisi punde tu anapofinyiwa kwa ndani hata kama anaziona red flags
 
Wengi wanashindwa kutofautisha mwanamke wa kufanya nae tu ngono na kumwacha uko uko bar au mtaani, na mwanamke wa kutengeneza nae committed relationship
 
Hakika , watu hill jambo linawashinda Sana .

Mwanamke wa Ku-fuc-k anabidi kuwa tofauti na wakukaa nae au kuzaa nae .

Wanawake hawa ambao washatumika ni special kwa ajili ya kutumika na vinginevyo.
 
Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili.

Mwanaume akiongea yale anayoyata kutoka kwa mwanamke, wanawake wengi wanatibuka nyongo. Kwanini? Kwa sababu hawana hivyo vigezo, hawaelewi mantiki ya mwanaume au wanaelewa lakini maelezo yamewapiga kwenye mshono

Mwanaume anaweza akasema anataka mwanamke atakaempa amani. Ni preference ambayo haina ubaya wala madhara lakini wanawake wataibuka na mashambulizi utasikia "anasema hivyo ili akichepuka mkewe asiongee chochote"

Mwanaume anaweza kusema anataka mwanamke bikira. Wanawake watakua wakali utasikia maswali "mama ako aliolewa akiwa bikira", "dada zako bikira?" n.k

Mwanaune anaweza kusema napendelea mwanamke mwenye umri mdogo(19-23). Wasimbe watakua wakali kweli kweli hapo kama vile wao hawajawahi kuwa na huo umri.

Hata mwanaume ukija na hoja za body count, asset vs liability, purity n.k tarajia kupata mashambulizi makali sana kutoka kwa wanawake. Men can't say what they want without women being arguing from their traumas.

Wanawake waelewe kama ambavyo mwanamke asiekua na hela anaweza kusema kwa kujiamini kabisa kwamba anataka mwanaume mwenye hela na akaeleweka, mwanaume pia ana haki ya kusema anataka young woman, bikira, feminine n.k na aeleweke pia.

If you can have a choice as a woman, why won't men. It's not hatred, it's preferences.
Kwani kumetokea nini huko kwako!?
 
Kujipatia mume kwa njia za udanganyifu

1766856558998.png
 
Una maoni gani Lamomy rafiki kipenzi
 
Nachojua ni kuwa always cheap is expensive.

Hata Kama I'm broke I can't date broke woman, single mothers, or 30 yrs above.

Mimi Kama Alpha male nakuwa nawatenga wanawake kimakundi

Kama zilivyo bidhaa

Grade one
Grade two
Grade Three

Nikikosa grade one , at least grade two

Ila siwezi kuokota okota ilimradi
It is better to stay single .
Alpha male?
 
Nature inamfavor mwanaume au mwanamke kulingana na phase ambayo yupo katika maisha yake. Wanawake wana early advantage, yaani anaingia kwenye dating pool akiwa na thamani kubwa.

Wajibu wa mwanamke hapo unakua ni kuilinda hiyo thamani maana miaka inavyienda na thamani yake inashuka. Ambapo ili awe in alignment with nature atalazimika kufukuzana na muda yaani suala la kupata mwenza na watoto amalizane nalo pale kwenye 20's.

Mwanaume anaingia kwenye dating pool akiwa hana thamani, wajibu wake ni kuitengeneza. Kadili umri unavyoenda na thamani ya mwanaume inapanda, muda unamfavor mwanaume.

Hili ni tatizo na mara nyingi vijana wasiokua na uzoefu wa mahusiano mengi ndio huwa wanaangukia kwa wanawake wabovu. Kukosa uzoefu kunawafanya washindwe kujua manipulations na trick codes za wanawake, vilevile kwa sababu wanakua na ukame sana wa sex hii inapelekea kuji-commit kwenye mahusiano kirahisi punde tu anapofinyiwa kwa ndani hata kama anaziona red flags
Nature inamfavor mwanaume au mwanamke kulingana na phase ambayo yupo katika maisha yake. Wanawake wana early advantage, yaani anaingia kwenye dating pool akiwa na thamani kubwa.

Wajibu wa mwanamke hapo unakua ni kuilinda hiyo thamani maana miaka inavyienda na thamani yake inashuka. Ambapo ili awe in alignment with nature atalazimika kufukuzana na muda yaani suala la kupata mwenza na watoto amalizane nalo pale kwenye 20's.

Mwanaume anaingia kwenye dating pool akiwa hana thamani, wajibu wake ni kuitengeneza. Kadili umri unavyoenda na thamani ya mwanaume inapanda, muda unamfavor mwanaume.

Hili ni tatizo na mara nyingi vijana wasiokua na uzoefu wa mahusiano mengi ndio huwa wanaangukia kwa wanawake wabovu. Kukosa uzoefu kunawafanya washindwe kujua manipulations na trick codes za wanawake, vilevile kwa sababu wanakua na ukame sana wa sex hii inapelekea kuji-commit kwenye mahusiano kirahisi punde tu anapofinyiwa kwa ndani hata kama anaziona red flags
Sure mkuu, tamaa ya sex nayo imechangia anguko la wanaume wengi
 
Back
Top Bottom