Mwanaume kuwa na mapozi ya kike

nirvana ni jumangapi na saangapi nimuone huyo punga.
 
Yule kijana huwa ana fanywa mambo ya ki cameron ndo mana

Ivi kumbe wakifanywa ndoo wanakuwa ivyo,mwee makubwa,Ivi hakuna wale wanapumuliwa wakasalimika na kubaki shababy,au ni laana ndo zinawarudia na kuwa kama Ke,kwa kufanana kitabia...eeh aisee.
 

kuna jukwaa husika linahusu mambo ya ujasiria mali mkuu
 
huyo jamaa ni kama pun** nilikuwa nakipenda hiki kipindi miaka ya nyuma ila tangu walivyoingia hawa wengine nikaacha kabisa kuangalia
 
hiyo ndio fashoooon..................
 
ila Mungu aliwakomesha kipindi cha sodoma na gomora, waliishia kuwa mavumbi.
 
Yote 9 ila 10 mimi yule rio wa insta ndio kabisa huwa nashangaa kwanza mikoba anayo beba yakike sio ya kike, njoo pozi zake sasa mamaeee yani ni tabu tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…