Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
kipindi cha NIRVANA kuna mambo mengi nimeyaona mle, hivi inakuwaje mwanaume kabisa unakuwa na mapozi ya kidemudemu? kuna alyewahi angalia kipindi cha nirvana east africa tv (channel five)?
kipindi cha NIRVANA
kuna mambo mengi nimeyaona mle, hivi inakuwaje mwanaume kabisa unakuwa
na mapozi ya kidemudemu? kuna alyewahi angalia kipindi cha nirvana east
africa tv (channel five)?
mbona unajitoa wewe mkuu!!!too much of everything ni tatizo.... mchizi hata kama sio kweli lakini kuna watu anawaweka kwenye wakati mgumu
us unayoizungumzia inaweza kuwa ni USA RIVER sio kule Michigan au Labda izo story umehadithiwa na mtoto wa Shangazi yake jirani yenu. Japo nakubaliana na wewe mtoto wa Kiume kuwa na swaga za kishosti ni kichefchef, Hatufagilii kuwa na Boyfriend or even a Friend wa style izoNafikiri ni mtindo ambao vijana wengi wa kibongo wameanza kuingiza vichwani, mtu anaona akichanganya swaga za kike na za kiume ndo anakuwa wa kisasa, angalia hata mavazi ya suruale za vichupa, nywele na rangi rangi, mahereni, vitisheti tight, alafu ni africa tu us ukiacha hereni za hapa na pale ambazo zinapungua, huwezi kukuta watu wamevaa vichupa, mpaka najiuliza vijana wa kibongo wanatoa wapi..?! Huwezi kuamini us mtu akiingia kwenye basi na mlegezo watu wanamshamgaa sana.
Hivi wabongo tuna tatizo gani sisi..?!!! Tuna ujuaji wa kishamba sana..!! Unajua nilipo mimi..?!!us unayoizungumzia inaweza kuwa ni USA RIVER sio kule Michigan au Labda izo story umehadithiwa na mtoto wa Shangazi yake jirani yenu. Japo nakubaliana na wewe mtoto wa Kiume kuwa na swaga za kishosti ni kichefchef, Hatufagilii kuwa na Boyfriend or even a Friend wa style izo
yule dogo wa NIRVANA hata mimi simwelewi yale mapozi huwa sipendi, nikija kwa mr kadinda, nikija kwa yule mhindi...maswali mengi huwa najiuliza lakini sipati jibu.
Hivi wabongo tuna tatizo gani sisi..?!!! Tuna ujuaji wa kishamba sana..!! Unajua nilipo mimi..?!!
yule dogo wa NIRVANA hata mimi simwelewi yale mapozi huwa sipendi, nikija kwa mr kadinda, nikija kwa yule mhindi...maswali mengi huwa najiuliza lakini sipati jibu.
naona wabeba box mnatafunana ninyi kwa ninyi. malizaneni, nyote si mko hukohuko kwa obabakamerun..us unayoizungumzia inaweza kuwa ni USA RIVER sio kule Michigan au Labda izo story umehadithiwa na mtoto wa Shangazi yake jirani yenu. Japo nakubaliana na wewe mtoto wa Kiume kuwa na swaga za kishosti ni kichefchef, Hatufagilii kuwa na Boyfriend or even a Friend wa style izo
jitambishieni ubebabox mkimaliza rudini kwenye mada. sisi tupo bongo hapa hayo mambo mageni kwetu.Hivi wabongo tuna tatizo gani sisi..?!!! Tuna ujuaji wa kishamba sana..!! Unajua nilipo mimi..?!!
sijui, lakini kusema kweli kama kuna mtu yupo karibu naye, amshauri, ajue yupo kwenye television inayoangaliwa na watu wenye akili zao, mapozi gani yale?hadi kukaa, anavyoongea anachezesha mdomo na mikono hadi mabega kama demu kabisa. mshaurini ndugu yenu jamani.halafu, hivi kwenye tasnia ya urembo kuna shetani gani? au ni kujifanya uzunguuzungu, kwa ninyi wenzetu mlioko ulaya na marekani, wanamitindo na wa huko nao huwa wanajibehave namna hiii? kadinda vipiii,Yule kijana huwa ana fanywa mambo ya ki cameron ndo mana
Hivi wabongo tuna tatizo gani sisi..?!!! Tuna ujuaji wa kishamba sana..!! Unajua nilipo mimi..?!!
Nashidwa kukuelewa shida ni nini hapa.?! Uongo uko wapi hapa.?! Nilivyosema hivyo sio kwamba nimeassume hamna member aliyefika us..ila nlichokua najaribu kuelezea ni mtazamo wa vijana wa kitanzania ambao wengi huiga mavazi wanayoona kwenye baadhi ya runinga hasa za miziki wakidhani ndo mavazi watu wanaovaa mitaani(hasa us) na ndo ukweli huo mimi nipo maryland... natumia sana public transport sioni hayo mavazi sana...hata ukienda movie theaters, mall nk huoni sana na ndo ukweli huo..hata wakati mwingine mtu akiingia kwenye metro na mlegezo watu wanamshangaa kama wanavyoshangaa hapo bongo..thats my point wakati mwingine watu wanaiga kwenye tv lkn mitaani haipo kiivyo sana..Sehemu gani ulipo ambapo unadhani hakuna Mwana JF, Marekani kwako umeona ni mbali sana kiasi cha kutuletea Uongo eti watu hawavai Vichupa wala Kata K!!!! kwa Taarifa yako sihitaji Comment yako wala ya mtu yeyote kujua kuwa umetudanganya, Nimezuru,nimeishi,nimesoma na kufanya Kazi huko Katika Majimbo kadhaa tena kwa vipindi tofauti na kukutana na watu tofauti. Uwe na Adabu Mtu mzima kuwa muongo haifai
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.
Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.
Mkuu watanzania( waafrica) tuna shida kidogo, kuna uzungu ambao tunauigiza lakini ni wa kufikirika sana, mm nasema tv ni shetani mkubwa sana, inakupa vitu ambavyo havipo, ila kama mtu hayupo makini anaweza kudhani ndo maisha, vitu km mashoga, mtu anaweza kudhani ukiiwa mtaani au kwenye public unapishana pishana nao tu si hivyo hata kidogo, wapo lkn sio kama hivyo inavyooezwa kwenye tv kwamba watakuwa wamezagaa mitaani, na huu uzungu watu wanaoigaa wazungu wenyewe si kwamba wanajikubali sana, kuna wazungu wengi mno wanaenda kufanya upasuaji wa ------, maziwa yavimbe kama ya waafrica.. Wanalipa maelfu ya dola kupasua hata uso uwe mpana kama waafrica..so kuna mambo watu wanaiga lakini ni kwasababu ya kuharibiwana tv lkn hali halisi haipo hivyo..naona wabeba box mnatafunana ninyi kwa ninyi. malizaneni, nyote si mko hukohuko kwa obabakamerun..
jitambishieni ubebabox mkimaliza rudini kwenye mada. sisi tupo bongo hapa hayo mambo mageni kwetu.
sijui, lakini kusema kweli kama kuna mtu yupo karibu naye, amshauri, ajue yupo kwenye television inayoangaliwa na watu wenye akili zao, mapozi gani yale?hadi kukaa, anavyoongea anachezesha mdomo na mikono hadi mabega kama demu kabisa. mshaurini ndugu yenu jamani.halafu, hivi kwenye tasnia ya urembo kuna shetani gani? au ni kujifanya uzunguuzungu, kwa ninyi wenzetu mlioko ulaya na marekani, wanamitindo na wa huko nao huwa wanajibehave namna hiii? kadinda vipiii,