Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,719
- 98,900
Simfatilii
Lkn unamfuatilia kwny media?
Lkn unamfuatilia kwny media?
Kazi nyingine bhana...Msamehee bure mamii.....yupo kazini.
Ngoja tupige kazi tuwaoe tu maana hamna namna.Mambo tuliyokuwa tunafanya watoto wa kike kama umbea na kusengenya, kubweteka bila kazi, kuolewa nk siku hizi wanaume baadhi ndio tumewaachia maana umbea ,kuolewa, utegemezi kwa wanaume (wavulana) ndio kumepamba moto kama sio kushika kasi ... Anga mnajitahidi ngoja tupige kazi wanawake .....
Wanaume ambao wamelelewa mazingira ya kiume haswa na wamepita jandoni si busara kutumia kauli hii.Mimi ni mwanaume mashine vipi unasemaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mambo tuliyokuwa tunafanya watoto wa kike kama umbea na kusengenya, kubweteka bila kazi, kuolewa nk siku hizi wanaume baadhi ndio tumewaachia maana umbea ,kuolewa, utegemezi kwa wanaume (wavulana) ndio kumepamba moto kama sio kushika kasi ... Anga mnajitahidi ngoja tupige kazi wanawake .....
Kwenye kipindi chao siwapo wawiliMwenzake simfahamu
Sikijui kipindi chao ila huwa naona watu wanapost video clips zake instaKwenye kipindi chao siwapo wawili
I wish u knew.usinune wala usikereke chukulia kiume tuu..Wewe endelea kukariri hivyohivyo,utaendelea kuzeekea nyumbani kisa kutafuta mwenye pesa
Poa NIMPENDENANI,nimekuelewaI wish u knew.usinune wala usikereke chukulia kiume tuu..
Nilikuwa sijui kuwa swali ulilouliza ni ujinga. asante kwa taarifaSiwezi kumtag mtu kwenye mambo ya kijinga jinga, siku njema mkuu.