miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 904
Hata mm nimehis hivo asee haiwezekaniHayo maneno ni very simple and shallow defence mechanism, kuna mwingine tena ameshaaminishwa kuwa yeye ni wa ndoa. Kuacha pichu kwa b/f siyo rahisi kama hamna mipango ya muda mirefu.
Ni kawaida mkuu,hata mimi huwa nasikia rahaa sana nikivaa za kike!
Wewe hujawahi kuacha chupi zako kwa boyfriend wako!??seriously??!!
Ni kawaida,mbona ninyi huwa mnavaa boxer za kiume???seriously??!!
Inawezekana, pengine jamaa ni cross-dresser. Humu kwenyewe kuna wanaume wana-pose na IDs na characters kama wanawake wa-Natafuta wanayoyajua wenyewe.
Speakin from experience?!..Hayo maneno ni very simple and shallow defence mechanism, kuna mwingine tena ameshaaminishwa kuwa yeye ni wa ndoa. Kuacha pichu kwa b/f siyo rahisi kama hamna mipango ya muda mirefu.
Mkuu zikiwa zile za kupita denge kwny makalio kama za jestikila,utavaa?!Ni kawaida,mbona ninyi huwa mnavaa boxer za kiume???
Nina mashaka hii imekutokea ww..Habar za Asubuhi wana MMU .
Kuna rafiki amekuja Jana ananisimulia kwamba alienda kwa boyfriend wake wakati anapanga panga vitu ndani akakutana na chupi za mwanamke, kwa hasira rafiki yangu akaondoka maana boyfriend wake hakuepo lakini zile nguo akiziacha kitandani ili iwe rahisi huyo mkaka kuziona afu akamtumia SMS kwamba anaondoka home kuna matatizo.
Sasa huyo boyfriend wake alivorudi akazikuta zile chupi kitandani akawa ameshajua kwamba moto hapa ushawaka, akaanza kumtumia SMS , eti ooh samahani baby ungeuluza kwanza HIZI NGUO MM NAVAAGA SEMA HUJAWAHI KUNIONA LAKINI ZANGU.
Jamani hapo kwenye herufi kubwa sijaelewa em njoo wanaume mnieleweshe hivi inawezekana kweli hii kitu?? Au danganya Toto??? Bado sijaelewa.
Afu rafiki yangu yeye alikuwa na imani na huyo boyfriend wake eti kisa anamzidi miaka mingi kwahiyo akaamini watu wazima hawana mizinguo lakn still Yale Yale.
Ushauri tafadhali wanaume njoo mnilezee huku
SijawahiWewe hujawahi kuacha chupi zako kwa boyfriend wako!??
Ni tofauti kwa mwanaume kuvaa chupi ya kikeNi kawaida,mbona ninyi huwa mnavaa boxer za kiume???
Mkuu ningekuwa ni mm kwani kuna naemuogopa humu??Nina mashaka hii imekutokea ww..
Wenzako wanaacha sasa .Sijawahi