Mwanaume kuvaa Nguo ya ndani ya mwanamke?? Au hii danganya toto

miss charming

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
826
1,000
Habar za Asubuhi wana MMU .
Kuna rafiki amekuja Jana ananisimulia kwamba alienda kwa boyfriend wake wakati anapanga panga vitu ndani akakutana na chupi za mwanamke, kwa hasira rafiki yangu akaondoka maana boyfriend wake hakuepo lakini zile nguo akiziacha kitandani ili iwe rahisi huyo mkaka kuziona afu akamtumia SMS kwamba anaondoka home kuna matatizo.

Sasa huyo boyfriend wake alivorudi akazikuta zile chupi kitandani akawa ameshajua kwamba moto hapa ushawaka, akaanza kumtumia SMS , eti ooh samahani baby ungeuluza kwanza HIZI NGUO MM NAVAAGA SEMA HUJAWAHI KUNIONA LAKINI ZANGU.

Jamani hapo kwenye herufi kubwa sijaelewa em njoo wanaume mnieleweshe hivi inawezekana kweli hii kitu?? Au danganya Toto??? Bado sijaelewa.

Afu rafiki yangu yeye alikuwa na imani na huyo boyfriend wake eti kisa anamzidi miaka mingi kwahiyo akaamini watu wazima hawana mizinguo lakn still Yale Yale.

Ushauri tafadhali wanaume njoo mnilezee huku
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,628
2,000

Nina mashaka hii imekutokea ww..
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,850
2,000
Kama jamaa sio gay basi rafiki yako ajue kuna mwenzake hapo. Angepekua zaid lazima angekuta kanga au vitenge pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom