Mwanaume kuvaa Nguo ya ndani ya mwanamke?? Au hii danganya toto

67099282.jpg
Mr Mimi sijawahi kuweza kuyatenganisha maziwa yaliyochanganywa kwenye tui la nazi...
 
Nyie wanaume gani sasa! Real men do defend their fellow men. Miss Charming, wala haina uharamu mwanaume kuvaa chupi za kike. Inawezekana jamaa alinunua chupi nyingi kwaajili ya mpenzi wake aliyekuwanae zamani. Kabla ya kumpatia wakaingia kwenye mgogoro. Yule binti akaondoka na hakukanyaga tena pale. Sasa unadhani zile chupi angempa nani? Ikabidi azivae tu, maana hamna namna sasa
Poa tumdefend ila asiwe anavaa, za kike akiwa beach
 
Nyie wanaume gani sasa! Real men do defend their fellow men. Miss Charming, wala haina uharamu mwanaume kuvaa chupi za kike. Inawezekana jamaa alinunua chupi nyingi kwaajili ya mpenzi wake aliyekuwanae zamani. Kabla ya kumpatia wakaingia kwenye mgogoro. Yule binti akaondoka na hakukanyaga tena pale. Sasa unadhani zile chupi angempa nani? Ikabidi azivae tu, maana hamna namna sasa
Mmmh ni kweli hiyo kweli?? Au ndo kuteteana?? Mm bado haijaniingia akilini
 
Kwa mfano, siku aliyoondoka huyo dada, jamaa alirudi na chupi sita nzuri sana alizokuwa amemnunulia huyo dada. Sasa kama hatorudi kabisa hizo chupi atavaa nani? Basi jamaa itabidi azivae
Kwani hana hata ndugu wa kuwapa??
 
Nadhani ni tangazo kuwa "Nimekuchoka". Jamaa kaziacha hapo kusudi tu ili apanic aondoke zake. Si ajabu zilikodishwa tu za kazi maalum. Kumkomesha king'ang'anizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom