Stoudemire
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 839
- 208
Napenda sana kuvaa cheni lakini nakumbuka maneno ya mama yangu kuwa cheni ni kwa ajili ya wanawake, basi najikuta sithubutu kuivaa.
Hata wakivaa shanga hakuna ubayaHakuna ubaya.
Hata wakivaa shanga hakuna ubaya
Hata wakivaa shanga hakuna ubaya
Na vikuku wapambe miguu yao ya kushoto.Wavae hata shanga ndio, wapambe viuno.
Na vikuku wapambe miguu yao ya kushoto.