Mwanaume kutovaa chupi

Una gono hivyo unaogopa boxer au chupi zitakuumiza?
 
kwa hio mkuu unatembea kijeshi au kikomandoo
 
Nadhani kadude kako ni kadogo sana.

Hivyo kutokukakunja hakuna madhara
 
Au unaona uvivu wa kufua boxer kila siku,
 


Wewe ni Mr. Natural, hivyo hujafanya kosa lolote la kutovaa chupi. Chupi inafanya mapumbu yako yanuke zaidi na haina faida yeyote kwetu. Big up, ilichobaki tu ni kuvua nguo. Ndiyo maana mimi sipendi kuwa nje muda mrefu, baada ya kazi narudi nyumbani na kuvua nguo zote kubaki uchi nyumbani na ninalala hivyo hivyo.
 
Mimi nina boksa hadi kuna siku dogo wangu aliniuliza huwa na bleed ama nini!? Maana naweza kuvaa kila siku moja bila kurudia mwezi mzima. Yeye ana boxer mbili tu akifua moja kavaa moja.

Ni uamuzi tu na usafi, ila dah ukiwa huvai kabisa hilo ni tatizo na nakushauri umuone doctor
 
Toka uanze chuo!!!kabla ya hapo ulikua unavaa.Tueleze ulipikua unavaa ulijisikiaje na leo hii unajisikiaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…