Okrap JF-Expert Member Joined Jul 13, 2022 Posts 1,112 Reaction score 2,315 May 5, 2023 #1 Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,712 May 5, 2023 #2 Akija Bongo wanawake wataisha ni kufukiwa tu.
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,134 Reaction score 6,372 May 5, 2023 #3 Uwezo wa kufikiria mdogo sanaa
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,907 Reaction score 12,196 May 5, 2023 #4 😐😐
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,780 Reaction score 7,795 May 5, 2023 #5 Mwambieni wanaume wa Tanzania tupo milimani tuna chapa shetani bakora😂😂
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,913 Reaction score 6,524 May 5, 2023 #6 Iwe ni kweli au tetesi; katika haya maisha, shida/matatizo yakizidi, uwezo wa kutumia akili unapungua
Iwe ni kweli au tetesi; katika haya maisha, shida/matatizo yakizidi, uwezo wa kutumia akili unapungua