Hao wapo wengi sana,
Ukute anaongea tu huko mtaani, home kama vile kanyeshewa, aibu.
Eti utakuta baba mzima baba mwenye nyumba ila amri na sheria zote nyumbani anapanga mama, ndugu akija kusalimia nauli ya kurudi anaomba kwa mke pesa yote ya mshahara kaisarenda kwa mama.
Yeye hana kumi mfukoni, mi sifanyi upuuzi huo, mpe pesa yake ya matumizi ya mwezi, na bajeti za nyumbani, fungu lako kubwa baki nalo mwenyewe, huwezi kukaa kwenye nyumba yako mwenyewe unakuwa kama zuzu.
Yaani ni bora kutoroka nyumbani ukiona kuwa mkeo amekushinda kumtawala, ila kwanini akushinde.
Epuka kuwa mume zuzu.
Mkuu ni jambo jema sana kumwachia mkeo pesa ingawa si zoteEti utakuta baba mzima baba mwenye nyumba ila amri na sheria zote nyumbani anapanga mama, ndugu akija kusalimia nauli ya kurudi anaomba kwa mke pesa yote ya mshahara kaisarenda kwa mama.
Yeye hana kumi mfukoni, mi sifanyi upuuzi huo, mpe pesa yake ya matumizi ya mwezi, na bajeti za nyumbani, fungu lako kubwa baki nalo mwenyewe, huwezi kukaa kwenye nyumba yako mwenyewe unakuwa kama zuzu.
Yaani ni bora kutoroka nyumbani ukiona kuwa mkeo amekushinda kumtawala, ila kwanini akushinde.
Epuka kuwa mume zuzu.
Angel
nimeipenda sana post yako.
Ni kweli mume ni kichwa cha familia na mke ni msaidizi wake kama yasemavyo maandiko katka vitabu vya dini.But believe me not hawezekani katu kumtawala mume kwa kutumia akili zetu. Mpende, muombee, muombee tena na tena, communicate na kuonyana. Nafasi ya mke katika mahusiano na iheshimiwe.