Mwanaume kupika chakula jikoni.

Mwanaume kupika chakula jikoni.

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Mimi ni moja wa wanaume hapa Tanzania ambao kwa namna moja ua nyingine tunawasaidia wake zetu kwa hali na mali shughuli za nyumbani.

Kwanza kwa kutambua kwamba wanawake wengi wameajiriwa like us, kwa hiyo wanamichango mikubwa sana ya maendeleo majumbani kwetu. Kikubwa wengi wao huwa wanachoka sana kutokana na majukumu mbalimbali

Pili ni njia moja wapo ya kutokomeza mfume dume.

Tatu ni njia nyingine nzuri ya kurutubisha upendo, mshikamano ndani ya nyumba.
uploadfromtaptalk1375882366502.jpg
 
...so what ? Sijaelewa lengo la uzi huu. Na kwa wale wenye wasaidizi wa kupika ndo kusema ndoa hairutubiki ?. ..
 
Mimi ni moja wa wanaume hapa Tanzania ambao kwa namna moja ua nyingine tunawasaidia wake zetu kwa hali na mali shughuli za nyumbani.

Kwanza kwa kutambua kwamba wanawake wengi wameajiriwa like us, kwa hiyo wanamichango mikubwa sana ya maendeleo majumbani kwetu. Kikubwa wengi wao huwa wanachoka sana kutokana na majukumu mbalimbali

Pili ni njia moja wapo ya kutokomeza mfume dume.

Tatu ni njia nyingine nzuri ya kurutubisha upendo, mshikamano ndani ya nyumba.
View attachment 106126
Mkuu ungaliifanya hii kama hoja ili watu wachangie, lakini wewe umekuja kutueleza tu unavyofanya! sasa labda niseme sawa unafanya vizuri..
 
Tatizo uko bahili. Nunua hata jiko la mezani la gesi. Wife akija hapo amekubebea glasi ya juisi anakukumbatia kwa nyuma na kukubusu shingoni. Kigoda hakinogii kabisaa?
 
Big Brother inakuhusu Mkuu
Mimi ni moja wa wanaume hapa Tanzania ambao kwa namna moja ua nyingine tunawasaidia wake zetu kwa hali na mali shughuli za nyumbani.

Kwanza kwa kutambua kwamba wanawake wengi wameajiriwa like us, kwa hiyo wanamichango mikubwa sana ya maendeleo majumbani kwetu. Kikubwa wengi wao huwa wanachoka sana kutokana na majukumu mbalimbali

Pili ni njia moja wapo ya kutokomeza mfume dume.

Tatu ni njia nyingine nzuri ya kurutubisha upendo, mshikamano ndani ya nyumba.
View attachment 106126
 
.........Suala la kusaidiana shughuli baina ya wapenzi wa kweli ni kielelezo kinachoonyesha jinsi gani mnajaliana, mnapendana, mpo tayari kubebeana matatizo yenu katika mahusiano pia inaonyesha ukaribu na utayari wako kwa mwenza pindi anapohitaji msaada. Tusiwe tunajifanya tunawajali na kuwapenda wanawake tunavyokuwa nao kweney 6x6 tu!

Kuna vitu vingi ambavo vinaweza kumfanya mpenzi/mke wako aone kuwa kweli unamjali na kimoja wapo ni kumsaidia kupika, kufua, kuosha vyombo n.k. Mara nyingi wanaume hufikiria kwamba tunatakiwa tufanye vitu vya gharama sana ili wenzetu wajue kuwa tunawapenda kumbe muda mwingine huwa hatupo sahihi katika hilo.

Kama ukishindwa kufanya vitu hivyo vidogo vidogo ujue mke/ mpenzi wako ata-note kwamba wewe sio msaada wa haraka pindi pale anapopata tatizo la ghafla mfano anapougua. Pia mwanaume asiyeweza kumsaidia mke au mpenzi wake hata kufua inamaanisha mkewe atakapokuwa mbali na hapo wanapoishi kwa muda fulani mumewe au mpenziwe atakuwa anavaa minguo michafu inayotema harufu na atamuaibisha.

Kwa upande wangu kupika, kufua, kuosha vyombo kudeki n.k sio ishu maana hata kabla sijaoa nilikuwa naishi alone na shughuli zote hizo nilikuwa napiga mwenyewe. Tuwaonyeshe upendo na kujali wapenzi/wake zetu kwa kuwasaidia shughuli nyingine kwani hao pia ni wanadamu kama tulivyo sisi na pia huwa wanachoka na wanahitaji kupunzika, muda mwingine wanafurahi wanapoona wapenzi wao wanapochukua jukumu la kuwasaidia.
 
Tatizo uko bahili. Nunua hata jiko la mezani la gesi. Wife akija hapo amekubebea glasi ya juisi anakukumbatia kwa nyuma na kukubusu shingoni. Kigoda hakinogii kabisaa?

Hahahahahaha! Nimependa comment yako hehehehehehe
 
Aisee! Nzuri sana nikimpata wa hivi yan kila cku kuchelewa kurud home nikute kishapikwa! Safi sana!
 
Mimi ni moja wa wanaume hapa Tanzania ambao kwa namna moja ua nyingine tunawasaidia wake zetu kwa hali na mali shughuli za nyumbani.

Kwanza kwa kutambua kwamba wanawake wengi wameajiriwa like us, kwa hiyo wanamichango mikubwa sana ya maendeleo majumbani kwetu. Kikubwa wengi wao huwa wanachoka sana kutokana na majukumu mbalimbali

Pili ni njia moja wapo ya kutokomeza mfume dume.

Tatu ni njia nyingine nzuri ya kurutubisha upendo, mshikamano ndani ya nyumba.
View attachment 106126

Hongera sana kwa mtazamo huo.

Hata mimi mzee mwenzangu baadhi ya wakati huingia jikoni kukarangiza kwa lengo la kuweka upendo na mshikamano katika familia.
 
...Ila kuna siku kidogo nizimie, baba mkwe alikuwa amekuja, Mamsap kambeba mtoto wetu mdogo(wakati huo km mwaka mmoja hivi) hatuna HG kazi zote tunapiga wenyewe tu. Si akaniambia mtoto amelala katandike kitanda, nikaona baba mkwe anavuta gazeti hahhahahah
 
Utakuwa ulipewa mwiko na.kinu kwenye harusi yako kama zawadi kutoka kiumeni!!!!!!!

Msome King'asti hapo juu ndo utajua akufukuzae hakwambii toka
 
Tatizo uko bahili. Nunua hata jiko la mezani la gesi. Wife akija hapo amekubebea glasi ya juisi anakukumbatia kwa nyuma na kukubusu shingoni. Kigoda hakinogii kabisaa?
like this photo thumb_COLOURBOX1696804.jpg
 
haupendezei hata kidogo...mi nakuona kulakula tu..
 
Hongera aisee. Wengine wanashindwa kutokana na mazingira na wengine ni kwa sababu familia ina wadada kadhaa sasa inakua ngumu kwa baba kuingia jikoni. Bila kusahau mila na desturi za watu wengine zinawazuia kufanya hivi. Lkn kama unaweza ni jamo jema mkuu.
 
Tatizo uko bahili. Nunua hata jiko la mezani la gesi. Wife akija hapo amekubebea glasi ya juisi anakukumbatia kwa nyuma na kukubusu shingoni. Kigoda hakinogii kabisaa?

Mtu hujikuna ajipatapo, pia Usimuige tembo ku... Boga mkun... utachanika.
 
Back
Top Bottom