Hapa nimekuelewa unasapoti kitendo cha mke kumpiga mmewe hadharani (kama mada inavyoeleza)!
Mmh! Mi nahis kama mke akihisi hasira zake haziwezi kuondoka bila kupiga, basi ampige wakiwa faragha! Hii inafaida nyingi sana! 1 kulinda heshima yenu.
2 kulinda penz lenu.
3 kupokewa vizuri ujumbe unaokusudia kuutoa... Etc.
Upande wapili, nigusie kwa Mume!
Ukijua mkeo anatabia ya kukupiga popote. Tahadhari sana na matendo yako! Ukiliepusha hili na bado unachapwa makofi ya kipuuzi, usikae kimya! Sio upige makelele au umpige! Mzuie kwa nguvu (reasonable) mpeleke faragha, then mwambie "Nipige hapa"!!!!
Sijui unalionaje hili Mimizo?