Mwanaume kupewa kichapo na mwanamke...!!

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Mambo vip wana member....

Jamani leo imenibidi niwashirikishe ktk moja ya matukio ambayo siyaelewagi hata kidogo.

Eti eti eti... Mwanaume alie komaa kabisa,misharubu kibao,kende zote mbili zimekomaa,alafu anapewa kichapo na mwanamke tena hadharani,mbele ya majirani...

Ivi tatizo hua nini mpaka mwanaume anapigwa na mwanamke...au ndio mapenzi ya digitali,ndio kua zombi au.?

Embu tupeane uzoefu ktk hii mambo bna alafu tuone ninini kinawapa jeuri hawa viumbe wa KE.!?

Finito..
 
Mkuu usione mtu kavaa suruali,na misharubu na kende na huo ududu ukadhan ni mwanamme kweli wengine hamna kitu! Waoga mbaya
 
Hao ni mafisi, dume la ukweli ni simba!!!!!! Ukimletea jeuri anaunguruma, sio kuogopa ogopa mwishoe wanatiwa singi la uso..........ina huuu!!!!!!
 
Mambo vip wana member....

Jamani leo imenibidi niwashirikishe ktk moja ya matukio ambayo siyaelewagi hata kidogo.

Eti eti eti... Mwanaume alie komaa kabisa,misharubu kibao,kende zote mbili zimekomaa,alafu anapewa kichapo na mwanamke tena hadharani,mbele ya majirani...

Ivi tatizo hua nini mpaka mwanaume anapigwa na mwanamke...au ndio mapenzi ya digitali,ndio kua zombi au.?

Embu tupeane uzoefu ktk hii mambo bna alafu tuone ninini kinawapa jeuri hawa viumbe wa KE.!?

Finito..
Kupigwa ni kutaka bwana..Mimi na mikono yangu miwili na miguu eti nisimame nipigwe we salama yako hakuna kitu kilicho karibu nikakulenga nacho ha ha ha hata kama sina nguvu za kukushindilia mingumi...Huyo mwanaume anaogopa kumpiga mkewe kwasababu ataonekana mkandamizaji/mpigaji....Lakini hata hivo mwanaume lazima awe mwanaume akikupiga jicho moja tu la kelbu akili ina kaa sawa hapo hajafungua mdomo....:smile-big:
 
Aibu gani ukampige mwenzio mbele za watu......!haifai

ndio mtuambie mnajisikiaje mnapo wapiga wanaume zenu,wakati jamii yote yajua kua wakupigwa ni mwanamke,kumbe kuna vijeba mavi flani vinakulaga kipondo...teh teh teh
 
Mambo vip wana member....

Jamani leo imenibidi niwashirikishe ktk moja ya matukio ambayo siyaelewagi hata kidogo.

Eti eti eti... Mwanaume alie komaa kabisa,misharubu kibao,kende zote mbili zimekomaa,alafu anapewa kichapo na mwanamke tena hadharani,mbele ya majirani...

Ivi tatizo hua nini mpaka mwanaume anapigwa na mwanamke...au ndio mapenzi ya digitali,ndio kua zombi au.?

Embu tupeane uzoefu ktk hii mambo bna alafu tuone ninini kinawapa jeuri hawa viumbe wa KE.!?

Finito..

wengine ndo wanavyodumisha mapenzi yao ...wewe wa nje utabaki kusema kuwa wanapigana ,mara wanagombana kumbe wenyewe penzi lao ndo linazidi kushamiri na kukomaa bara bara.
 
Kupigwa ni kutaka bwana..Mimi na mikono yangu miwili na miguu eti nisimame nipigwe we salama yako hakuna kitu kilicho karibu nikakulenga nacho ha ha ha hata kama sina nguvu za kukushindilia mingumi...Huyo mwanaume anaogopa kumpiga mkewe kwasababu ataonekana mkandamizaji/mpigaji....Lakini hata hivo mwanaume lazima awe mwanaume akikupiga jicho moja tu la kelbu akili ina kaa sawa hapo hajafungua mdomo....:smile-big:

teh teh teh teh mkuu ivi unawajua wanawake wa kikuyu.? Ni noumaaa wanagawa kipigo kama francis cheka bna mpaka mwanaume ana float ...
 
Huyu kaona akubali kichapo ili usiku afaidi uroda.chezea!.
 
Kupigwa ni kutaka bwana..Mimi na mikono yangu miwili na miguu eti nisimame nipigwe we salama yako hakuna kitu kilicho karibu nikakulenga nacho ha ha ha hata kama sina nguvu za kukushindilia mingumi...Huyo mwanaume anaogopa kumpiga mkewe kwasababu ataonekana mkandamizaji/mpigaji....Lakini hata hivo mwanaume lazima awe mwanaume akikupiga jicho moja tu la kelbu akili ina kaa sawa hapo hajafungua mdomo....:smile-big:

Mkuu nimeipenda sana signature yako!
Nikiihusisha na mada + ulichokiongea, napenda nikuulize swali!
Hivi ni kitu gani kinafanya mume apigwe, mke apige na mume atulie akipigwa?
 
kupiga au kupigwa ni matokeo.
Suala ni kwa nini wenye mahusiano washindwe kusuluhisha tofauti zao hadi kufikia kupeana adhabu ya kipigo sababu hawawezi kutafuta suluhu kwa njia nyingine (ikiwa ni pamoja na kuachana).

Mwanaume au mwanamke kupigana ni tabia za kinyama! haijalishi ni nani anampiga nani!
 
Mkuu nimeipenda sana signature yako!
Nikiihusisha na mada + ulichokiongea, napenda nikuulize swali!
Hivi ni kitu gani kinafanya mume apigwe, mke apige na mume atulie akipigwa?
Ahsante Mashaxizo....Mara nyingi kunapokuwa na kutoelewana kati ya mwanamke na mwanaume...kama tunavyojua sie wadada hasira zetu unaweza umpige mwanaume vibao au vingumi(ambavyo havina nguvu hata haviumi) kama vile unachombeza....sasa inabidi mwanaume atulie tu kwasababu anakuwa anajua keshaharibu na hasira za mpenzie zipo hivo na ni mapito tu...na isitoshe akilipiza yeye anaweza amuumize mwenzie sio kwasababu mwanaume anatumia nguvu na kipigo si cha kitoto damu inaweza imwagike,uvie damu sehemu tofauti za mwili,utolewe meno,nundu na hata uvunjwe mifupa...Kwahio wakaka wanaona watulie tu..isitoshe wanaume wastaarabu na wapole hawapigii wapenzi wao :smile-big:
 
ndio mtuambie mnajisikiaje mnapo wapiga wanaume zenu,wakati jamii yote yajua kua wakupigwa ni mwanamke,kumbe kuna vijeba mavi flani vinakulaga kipondo...teh teh teh

Hiyo jamii inayojua mwanamke ni wakupigwa bado haijajitambua......maisha yakupigana hamna siku hizi.
Ila pamoja na uanaume wako,ukijifanya mbabe basi ipo sehemu lazima ukae.......kudadeki!!!!
 
ndio mtuambie mnajisikiaje mnapo wapiga wanaume zenu,wakati jamii yote yajua kua wakupigwa ni mwanamke,kumbe kuna vijeba mavi flani vinakulaga kipondo...teh teh teh
Eti wa kupigwa ni mwanamke!!
HOVYOOO
 
Ahsante Mashaxizo....Mara nyingi kunapokuwa na kutoelewana kati ya mwanamke na mwanaume...kama tunavyojua sie wadada hasira zetu unaweza umpige mwanaume vibao au vingumi(ambavyo havina nguvu hata haviumi) kama vile unachombeza....sasa inabidi mwanaume atulie tu kwasababu anakuwa anajua keshaharibu na hasira za mpenzie zipo hivo na ni mapito tu...na isitoshe akilipiza yeye anaweza amuumize mwenzie sio kwasababu mwanaume anatumia nguvu na kipigo si cha kitoto damu inaweza imwagike,uvie damu sehemu tofauti za mwili,utolewe meno,nundu na hata uvunjwe mifupa...Kwahio wakaka wanaona watulie tu..isitoshe wanaume wastaarabu na wapole hawapigii wapenzi wao :smile-big:

Hapa nimekuelewa unasapoti kitendo cha mke kumpiga mmewe hadharani (kama mada inavyoeleza)!
Mmh! Mi nahis kama mke akihisi hasira zake haziwezi kuondoka bila kupiga, basi ampige wakiwa faragha! Hii inafaida nyingi sana! 1 kulinda heshima yenu.
2 kulinda penz lenu.
3 kupokewa vizuri ujumbe unaokusudia kuutoa... Etc.
Upande wapili, nigusie kwa Mume!
Ukijua mkeo anatabia ya kukupiga popote. Tahadhari sana na matendo yako! Ukiliepusha hili na bado unachapwa makofi ya kipuuzi, usikae kimya! Sio upige makelele au umpige! Mzuie kwa nguvu (reasonable) mpeleke faragha, then mwambie "Nipige hapa"!!!!
Sijui unalionaje hili Mimizo?
 
sie tupigwe tuna nini
na nyie msipigwe mna nini?
na bado tutawabonda mshike adabu zenu!!
 
Hapa nimekuelewa unasapoti kitendo cha mke kumpiga mmewe hadharani (kama mada inavyoeleza)!
Mmh! Mi nahis kama mke akihisi hasira zake haziwezi kuondoka bila kupiga, basi ampige wakiwa faragha! Hii inafaida nyingi sana! 1 kulinda heshima yenu.
2 kulinda penz lenu.
3 kupokewa vizuri ujumbe unaokusudia kuutoa... Etc.
Upande wapili, nigusie kwa Mume!
Ukijua mkeo anatabia ya kukupiga popote. Tahadhari sana na matendo yako! Ukiliepusha hili na bado unachapwa makofi ya kipuuzi, usikae kimya! Sio upige makelele au umpige! Mzuie kwa nguvu (reasonable) mpeleke faragha, then mwambie "Nipige hapa"!!!!
Sijui unalionaje hili Mimizo?
Sisapoti kusema kweli...kwasababu mwanaume anavunjiwa heshima na kama mpaka imefikia hatua ya kupigana hadharani ni kwamba hakuna mipaka kati ya hao wapendanao kwa sababu katika mahusiano mwanaume anajulikana msimamo wake na nafasi yake!Sasa kama kamuachia mpenzi wake mpaka anampiga hadharani ni lawama yake mwenyewe...
Kwa wote(wanawake na wanaume) mkiwa na ugomvi mkaumalizie faragha sio mbele ya kadamnasi.... hata mkitoana ngeu hamtomnunufaishi yoyote...
 
Back
Top Bottom