Mwanaume kupewa kichapo na mwanamke...!!

Mwanaume kupewa kichapo na mwanamke...!!

Hapa nimekuelewa unasapoti kitendo cha mke kumpiga mmewe hadharani (kama mada inavyoeleza)!
Mmh! Mi nahis kama mke akihisi hasira zake haziwezi kuondoka bila kupiga, basi ampige wakiwa faragha! Hii inafaida nyingi sana! 1 kulinda heshima yenu.
2 kulinda penz lenu.
3 kupokewa vizuri ujumbe unaokusudia kuutoa... Etc.
Upande wapili, nigusie kwa Mume!
Ukijua mkeo anatabia ya kukupiga popote. Tahadhari sana na matendo yako! Ukiliepusha hili na bado unachapwa makofi ya kipuuzi, usikae kimya! Sio upige makelele au umpige! Mzuie kwa nguvu (reasonable) mpeleke faragha, then mwambie "Nipige hapa"!!!!
Sijui unalionaje hili Mimizo?
Kwahio wewe unakubali kupigwa faragha ha ha ha me like this!!!
 
Kupigana sio issu KE ampige ME si ujanja huo na vise versa! Sio issue wala usupastar RESPECT is all that needed ya nin kufedheheshana kwenye mitaa
 
Hivi hadi leo hii kuna watu wanatiana masumbwi kwenye ndoa...
 

sie tupigwe tuna nini
na nyie msipigwe mna nini?
na bado tutawabonda mshike adabu zenu!!

kaah.... Pacha, ujue dume linalopigwa hata kudekeza halijui!!!!! Maana ye ndie atataka umdekeze, raha ya mume awe na sauti bana lakiniasipitilize......!
 
Hao ni mafisi, dume la ukweli ni simba!!!!!! Ukimletea jeuri anaunguruma, sio kuogopa ogopa mwishoe wanatiwa singi la uso..........ina huuu!!!!!!

teh teh teh umenichekeshajeee
 
kaah.... Pacha, ujue dume linalopigwa hata kudekeza halijui!!!!! Maana ye ndie atataka umdekeze, raha ya mume awe na sauti bana lakiniasipitilize......!

kwaio we huoni tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.?
 
Kwani mnadhan wanawake wote goigoi wapo wanawake mabaunsa km simba mwanamume ukiingia kichwakichwa anakutoa nishai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani mnadhan wanawake wote goigoi wapo wanawake mabaunsa km simba mwanamume ukiingia kichwakichwa anakutoa nishai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

haya bna
 
kaah.... Pacha, ujue dume linalopigwa hata kudekeza halijui!!!!! Maana ye ndie atataka umdekeze, raha ya mume awe na sauti bana lakiniasipitilize......!

sawa awe na sauti
lakini sio ndio kunigeuza
ngoma pacha,inapofikia kugeuzwa
ngoma kibao lazima kimgeukie bana!!
 
Back
Top Bottom