Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,168
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nduli dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nduli dada.
Nature inasemaje?Mbona mwanaume akihudumia kila kitu mwaona sawa? Kwa nini nyie wabinafsi?
Hahah usijaliUhakika sasa bibie usilete tena kona Kona kama mafikizolo.[emoji16]
[emoji23] wewe uko kuoga mbona unakukazania sana[emoji15]Hahah usijali
cha muhimu uoge na upendeze[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka kama mazuri jamani...! We ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutuuuuu sina roho nzuri kwenye swala la hela penzini hahahahahaha Kuna likaka limoja kipindi fulani hivi nilikuwa na date nalo mweeeh mwanzoni alionesha anaweza kusimama kiume kumbe ilikua gia, baadae akaanza kuomba eti pesa ya chai khaaaaa day one nilimpa sh 250 sababu ndiyo ilikuaga mezani, akauliza "baby unanipa hii kweli"? Nikamuuliza unatakaje kwa mfano? Yaani kamshahara kangu ka hapa na pale nigawe nawe jitu zima!? Akagunaguna akasepa zake.. Nikaliachia mbali huko na mji nikahama kwenda kuongeza zangu elimu mie... Viazi siviwezi kabisaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] namsaidia OGA[emoji23] wewe uko kuoga mbona unakukazania sana[emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka kama mazuri jamani...! We ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
poda,wanja na makorokoro mengine ya urembo wanashare au kila mtu ana vya kwake mwenyeweEti jamani hivi ji sahihi kwa mwanaume kusalandia vitu vya mchumbaake? mfano kupenda kuendesha gari ya demu, kula kwa demu, kulala kwa demu, tena mfano huyo girlfrnd wake akisafiri ndio ana hamia kabisaa huko na kuendesha usafiri wa dem wake tena kwa kulazimisha haswaa, wakati na yy gari anayo ila anapenda kuringishia gari ya girlfrnd wake nk.
Sometimes huyo kaboy anaweza kumwambia mchumbaake watoke outing wake mgahawa fulani wakifika huko anajifanya hana hela ili dem alipe. mchumbaake akileta ugumu anamaindi na kusema ana ubinafsi.
Hivi hii ninsawa kweli jamani