baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
.
wanasema leo weekend unitoe out nikapate plisner 2Nimesoma kama nakimbizwa, yaani sijaelewa [emoji41]
Oga, vaa, pendeza,tupia na ile crayz yakowanasema leo weekend unitoe out nikapate plisner 2
Teari nimeshatinga ki brazamen [emoji23][emoji23][emoji23] nakusubiri tu uwahi sasa.Oga, vaa, pendeza,tupia na ile crayz yako
get ready ....nakupitia hapo
Si atafute hana amekalia ujinga, mwanaume kazi, halafu huyo nae atataka kuheshimiwa thubutuuuuu.,,, kwangu huyo anapiga deki na vyombo aosheNi sawa kabisa kwa nini umnyanyase mwenzio wakati hana
kwan ww ndo huyo girl ?Eti jamani hivi ji sahihi kwa mwanaume kusalandia vitu vya mchumbaake? mfano kupenda kuendesha gari ya demu, kula kwa demu, kulala kwa demu, tena mfano huyo girlfrnd wake akisafiri ndio ana hamia kabisaa huko na kuendesha usafiri wa dem wake tena kwa kulazimisha haswaa, wakati na yy gari anayo ila anapenda kuringishia gari ya girlfrnd wake nk.
Sometimes huyo kaboy anaweza kumwambia mchumbaake watoke outing wake mgahawa fulani wakifika huko anajifanya hana hela ili dem alipe. mchumbaake akileta ugumu anamaindi na kusema ana ubinafsi.
Hivi hii ninsawa kweli jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ga demn! Huyo bitozi atapata tabu sana.Si atafute hana amekalia ujinga, mwanaume kazi, halafu huyo nae atataka kuheshimiwa thubutuuuuu.,,, kwangu huyo anapiga deki na vyombo aoshe
Toka getini kabisaTeari nimeshatinga ki brazamen [emoji23][emoji23][emoji23] nakusubiri tu uwahi sasa.
Bonge la jibu yani......Ni sawa as long as anayefanyiwa anaona ni sawa...na vice versa
Bonge la jibu yani......
Nakuelewaga sometime ila kuna muda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]