Mwanaume kupenda vitu vya mchumba wako

Mwanaume kupenda vitu vya mchumba wako

Mwanamke asietaka vitu vyake vitumike na mpenzi wake ndio wale walozoea ma sponsa, na mwanaume mtumia vitu vya mpenzi wakE bila sababu maalumu ndio wale tunawaita vi BEN 10.
Unajua nilichokuja kugundua collectively hao ni aina ya watu wenye roho za kimaskini tu awe ME au KE hakuna cha ben10 wala danga/sponsa. Mtu mbinafsi chimbuko lake ni roho ya kimaskini na ulimbukeni wa vitu maana alipozaliwa na kukulia hakuwa akiviona, vimemjia ghafla kama zali ndio unakuta mtu anakuwa mchungu sana wa tuvitu twa kawaida, masimango kibao.

Mimi nina gari langu na mpenzi wangu akitaka kulitumia nikiwa sina shughuli nalo maana ofcourse mi sio mtu wa kupenda kutembelea gari kihivyo, Kwanini nimnyime au nimpe huku roho inaniuma? Ni mambo ya ajabu sana kusikia kwa mtu ambaye anakuita mpenzi au unamuita mpenzi. Tunaelewa mapenzi ni zao muungano wa nafsi na miili yenu ila napatwa ukakasi sana na dada na kaka zangu wa kibongo.

Times have shifted ule mwenendo waliokuwa wamejijengea mabinti kuwa wao ni lazima wapewe tu wakiwa kwenye mahusiano tena kinguvu kwa kuwaita raia mabuzi na sasa madanga, jinsia pinzani nayo ilikaa vikao na imeona ilikuwa ni kama dhuluma na upunda tu...Mabaharia sahivi wameamua kuangalia kwa upana maslahi yao kwamba lazma mahusiano yoyote yawe na tija kwao na sasa wanakula sahani moja na wanawake wenye uwezo na roho za kitajiri maana ni less headaches strictly mapenzi tu ila cha kushangaza wale mademu wenye roho za kimaskini wanatupa lawama na chuki zote kwa mabaharia hao kwamba eti wanapenda slope. Sikuhizi baharia akiwa na GF anaejiweza watu wanaanza majungu as if ni dhambi kuwa na mchumba mwenye michongo.

Ladies wakumbuke hii tabia yao ya utapeli wa mapenzi na mizinga ni toka enzi za Twanga pepeta ilikuwepo na ni vile mabinti wengi walikuwa wategemezi mabaharia waliwafadhili sana. Ila kwa sasa toka zama za vyuma kukaza kibao kimewageukia wao wameanza kulialia na makelele mengi mno. We kama unatumia vya mpenzio kwanini vyako asitumie sasa? Ni uchoyo ulioje ama roho ya kimaskini kiasi gani hio. Kila mmoja anamuhitaji mwenzie kinamna flani, watu wamecapitalize on their strengths hakuna mmoja kunyonywa pekeyake.

Mabaharia wamesanuka mapenzi ni two way traffic sio chuma ulete 😂😂😂. Mabinti watulie dawa iwaingie vizuri tu.

"Ndugu zangu, ukitaka kula sharti uliwe kidogo, sasa we unataka kula hivi hivi,,,haiwezekaniii "~~~ JK wa Msoga
 
wamenuna baada ya kusoma hili Jiwe lako...we ukisikia tu kapga ukunga" "yeleuwiiiii" ujue limempata hilo.
 
Hahaaa,huwa nawashangaa pia wanavyo jitutumua hapa jukwani. Wanachekesha mnooo!
Wengi deepdown there are going through shit bruh, amini kwamba. Kuna kamoja kanapambanaga mno ila nimekuja ku realise bitterness yake ni sababu amependa sana mahali ambapo jamaa kweli yuko real nae ila hana mipunga so anakuwa yeye anaplay part ya kuhudumia zaidi. He keeps that on loop hadi inaleta taswira on what is undercover.

They aren't that strong bruh...tuwachangamshe tu lets keep them relaxed.
 
Kama na yeye huwa anasaidia kazi za ndani akiishiwa akaomba mbona atapewa tu
Hivi kweli hizi story nazosoma-ga huku za kweli?

Mpenzi wako wa kiume hapaswi kukuomba pesa kama kaishiwa?
 
Eti jamani hivi ji sahihi kwa mwanaume kusalandia vitu vya mchumbaake? mfano kupenda kuendesha gari ya demu, kula kwa demu, kulala kwa demu, tena mfano huyo girlfrnd wake akisafiri ndio ana hamia kabisaa huko na kuendesha usafiri wa dem wake tena kwa kulazimisha haswaa, wakati na yy gari anayo ila anapenda kuringishia gari ya girlfrnd wake nk.

Sometimes huyo kaboy anaweza kumwambia mchumbaake watoke outing wake mgahawa fulani wakifika huko anajifanya hana hela ili dem alipe. mchumbaake akileta ugumu anamaindi na kusema ana ubinafsi.

Hivi hii ninsawa kweli jamani
Hilo kawaida mbona maana hata mimi vitu vya mchumba wangu nakula mpaka pesa hadi laki moja huwa ananipa akiwa nayo,
 
Mwingine tumetoka kwenye shughuli yake jana iko wazi inaeleweka kwamba hana hela hata mia lakini kakomaa anataka kuoa mwanamke mwenyewe anayemuoa sasa ana hela chafu acha yaan wakimaliza harusi wanahamia kwake huyo mwanamke mahali ni mwanamke ndiye aliyempa huyo mwanaume akatoe kwao shughuli nzima ya engagement mwanamke kagharamika kuanzia mavazi mpaka sherehe ya ukumbini lakin bado kijana anatembea kifua mbele na kujidai kwamba yeye ndie kidume kaoa mwanamke mwenyewe anaonekana mtemi balaa mwanaume kaenda na kengele zake tu mbili
 
Back
Top Bottom