Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,449
- 25,168
Hapo chachaaaaNi sawa tu, si umetaka mwenyewe kudate kivulana, kwani hukuwaona wanaume?
Hapo chachaaaaNi sawa tu, si umetaka mwenyewe kudate kivulana, kwani hukuwaona wanaume?
Wanawake mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wajuaji mnoo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sipendi ujinga mimi weeeeee ule bure, uoge Maji nalipa bili mimi, umeme nalipa bili una chaji kisimu chako cha mchina, chakula ninunue, halafu ukaekae tu hahahahahhaha vyombo,Deki,Sokoni, Kupika, Kunifulia itapobidi, si umetaka niwe kichwa cha familia sio shida pesa natafuta ila utajutaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wajuaji mnoo!
Kunywa creti nzimaNina kiu sana naomba ninywe mbili [emoji6][emoji6]
we jau kweli🤩Hiyo hiyo aliniona katili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]p
we jau kweli[emoji2956]
Hahahah mi nishamsanukia huyo maharia 🤣🤣🤣Wanawake mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wajuaji mnoo!
Hahaaa,huwa nawashangaa pia wanavyo jitutumua hapa jukwani. Wanachekesha mnooo!Hahahah mi nishamsanukia huyo maharia 🤣🤣🤣
Hawa na makofi wanapigwa na hao ma HB wanaowafuga ila humu kujitutumua tu.
Kwa hiyo kwa mwanamke ni sahihi kufanya hayo ila kwa kuwa ni mshkaji hapo sio sawa?Eti jamani hivi ji sahihi kwa mwanaume kusalandia vitu vya mchumbaake? mfano kupenda kuendesha gari ya demu, kula kwa demu, kulala kwa demu, tena mfano huyo girlfrnd wake akisafiri ndio ana hamia kabisaa huko na kuendesha usafiri wa dem wake tena kwa kulazimisha haswaa, wakati na yy gari anayo ila anapenda kuringishia gari ya girlfrnd wake nk.
Sometimes huyo kaboy anaweza kumwambia mchumbaake watoke outing wake mgahawa fulani wakifika huko anajifanya hana hela ili dem alipe. mchumbaake akileta ugumu anamaindi na kusema ana ubinafsi.
Hivi hii ninsawa kweli jamani
Mbona mwanaume akihudumia kila kitu mwaona sawa? Kwa nini nyie wabinafsi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sipendi ujinga mimi weeeeee ule bure, uoge Maji nalipa bili mimi, umeme nalipa bili una chaji kisimu chako cha mchina, chakula ninunue, halafu ukaekae tu hahahahahhaha vyombo,Deki,Sokoni, Kupika, Kunifulia itapobidi, si umetaka niwe kichwa cha familia sio shida pesa natafuta ila utajutaaaa
Toka Jana nipo nakusubiri umenichomesha mahindi kwanini?Toka getini kabisa
Nduli dada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sipendi ujinga mimi weeeeee ule bure, uoge Maji nalipa bili mimi, umeme nalipa bili una chaji kisimu chako cha mchina, chakula ninunue, halafu ukaekae tu hahahahahhaha vyombo,Deki,Sokoni, Kupika, Kunifulia itapobidi, si umetaka niwe kichwa cha familia sio shida pesa natafuta ila utajutaaaa