Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Asa unataka akae kaa gogo.ushughulike peke yako?
 
Haki sawa lol, acha akikate tu na yeye
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli
huyo utakua umemtoa kwenye Akudo, twanga,FM academia au kwenye bendi ya falii!
cha msingi akiweka tu mshike sitting allowance vuta kwenda ndani yako hadi ukirizika wewe basi unamuachia azunguke kwa tani yake!
 
Sijawai sikia kuna mwanaume gogo, hiyo ni sababu tosha kuwa wanaume tunakatika.
 
Jamaa anakuzidi speed ya mchecho? Unataka awe gogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…