Malengo yanatofautiana!jamaa yangu kabsa still anakaa kwao kaz nzur mwaka wa 4 huu..!amenunua gar na anamalizia ujenz wa nyumba yake kwan ktk v2 ambavyo anavpinga kikubwa ni kupanga
We ni wa kike au wa kiume?
Manake tatizo hili la kufuatilia maisha ya watu wengine (umbea) ni kubwa zaidi ya hicho unachotaka kusema. Au wewe ni wa kike na jamaa anayekugegeda kakomaa anajua akichukua tu room utahamia sasa ndio unamwagika povu?
Wengine ni last born, mzazi unakuta amebaki mmoja, so anapoondoka home mzazi anakuwa bored, labda kama anataka kuoa na kuanzisha familia sawa lakini kama bado upo upo bora ukae home tu..
Hiyo hela ya kodi unaanza kujenga nyumba yako huku ukisindikiza na ka Altezza pembeni...
Mi wanangu kibao wa primary na sekondari bado wanakaa home na wengi wao wana kazi nzuri sana, lakini wameamua kubaki home sababu bado hawajaamua kuseto for a family na wanaona kuwahi kupanga hakuna dili, hiyo kodi wanafanyia ujasiriamali na mambo mengine ya maana...
Maisha ni tofauti sana, we unachokiona kipo sawa wenzako wanaona unakosea, and vice versa is true.. Pia usisahau usemi usemao "There is no place like home" na mwingine unasema "Home is where your heart is". Na Tmk wanaume wanakwambia nyumbani nyumbani hata kama vichakani
Malengo yanatofautiana!jamaa yangu kabsa still anakaa kwao kaz nzur mwaka wa 4 huu..!amenunua gar na anamalizia ujenz wa nyumba yake kwan ktk v2 ambavyo anavpinga kikubwa ni kupanga
acha kufatilia maisha ya watu fanya yako hapa mjini!kama baba yako hakujenga mjini?Habari zenu wakuu!
Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu very comfortable!
Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!
Anyway labda mimi najudge vibaya ila wenzangu kijana kama huyu mnamchukulia kama mwanaume au mvulana?!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
acha kufatilia maisha ya watu fanya yako hapa mjini!kama baba yako hakujenga mjini?
back to topic! ata mm bado nakaa home kwa sababu zifuatazo
watu wengine wanaona wivu wazazi wao walichelewa kuja mjini
- nyumba ipo karibu na city centre kazini natembea tu
- nyumbani ni mtoto wa mwisho
- mzazi ninayeishi nae ni single parents
- siwezi kutumia gharama kubwa kwenda kuishi mbweni,pugu,bunju wakati gharama za mafuta ni sawa nakupanga mjini
- wazazi waliniandalia mazingira mazuri ya kuishi mjini

Habari zenu wakuu!
Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu very comfortable!
Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!
Anyway labda mimi najudge vibaya ila wenzangu kijana kama huyu mnamchukulia kama mwanaume au mvulana?!
Hata Busta Rhymes bado anakaa kwa mamie
We punga zeze hakuna wa kukuonea wivu,kisa nn baba ako alikuandalia maisha?!sio kila mtu anasubiri ya kuandaliwa maisha!
Anyway all in all tulia home watu waje kukuposa mtoto mzuri wa mama!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums