MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 868
- 331
wote hakuna cha kuwagawa hapa, kuna kuna sheria ya kifamilia inasema kuwa mshahara wa mwanaume ni wa familia nzima lakini mshahara wa mwanamke ni wa mwanamke tu basi:
anayebisha aje hapa bila jazba lakini, mimi leo nawatetea wanawake tu, watu wamezidi kuwaonea sana ,mara ooo wanaua , wauaji oo sijui nini maneno kibao kila kashfa anapewa yeye mwanamke
Umeahidiwa Kubwa Nini mbonaa leo wajigonga sana kwa viumbe hawa??