Mwanaume kufanya kazi za kike

Mwanaume kufanya kazi za kike

Hizi ni akili za mfumo dume. Kazi ni kazi baharia,Kazi nayo pia ni K
 
habar VP Wa ndg?
Hebu tubadilishane mawazo kidogo.. Najua katika maisha kila mtu ana njia yake Ya utaftaji lakini kuna Kaz zingine moja kwa moja zinajulikana Ni za kike katika jamii..

Tumzungumzie mtoto wa kiume anae fanya kaz saluni Ya kike na Kaz yake imekua kusuka nywele wanawake

Pia tumzungumzie Jamaa ambae Kazi yake imekua ni kupika wali,ugali yaan yeye ni mpishi Katika mgaawa

Pia tumzungumzie Jamaa ambae kazi yake amegeuka baamed kuuza vinywaji baa...

MIMI BINAFSI HUWA NASHTUKA SANA NIKIWAONA KATIKA KAZI HIZO... VIPI MITAZAMO YENU WAKUU
Mshamba tu.
 
Ni nani aliyesema/ aliyepitisha kuwa kazi hizo ni za kike?

Au ni Mtazamo wako tu?
 
Ni wapi pameandikwa kuwa hii ni kazi ya kike na hii ni ya kiume?

Na hizo kazi ulizozitaja ambazo kwa mtazamo wako unasema ni za kike Wanaume huwa tunazifanya kwa ustadi wa hali ya juu.

Mahoteli mengi makubwa Wapishi ni Wanaume

Masaluni makubwa ya kike Wafanyakazi wengi ni Wanaume.

Acheni kukariri maisha.
 
Salon wanazosuka wanaume skuiz ndo zna soko wanajua kusuka sana kaz ni kaz bwana coz makonda wa kike nao wapo skuiz izi zama sio za kuchagua kaz
Makonda wa kike!! hee huyu Bashite!! yamefika huko.
 
Mmmm! Mkuu ulitegemea waliowengi wataku support ila wamekupinga nenda kajipange upya uje tena na mada nyingine labda itakuwasahaulisha mada hii.
 
Japo sikufahamu lakin nakuhakikishia hujawahi kwenda ulaya toka umezaliwa,,,ukaona nchi zilizostaarabika machief wakuu ni akina nan/kusuka ni kipaji ukikitumia vema unapiga mpunga tu/muhudumu anaweza kua yyte haina maana kuamin ni kaz za kike tu..

Kukusaidia ni kwamba ili ujue
KAZI PEKEE YA MWANAMKE DUNIA HII NA WANAUME HAWAWEZI NI KUZAA PEKEE BHAS MAANA ILE INA ASILI YAO TOKA DUNIA IMEUMBWA
 
Sawa mkuu ulikua mtazamo wang
 
Habari vipi wandugu,

Hebu tubadilishane mawazo kidogo najua katika maisha kila mtu ana njia yake ya utafutaji lakini kuna kazi zingine moja kwa moja zinajulikana ni za kike katika jamii.

Tumzungumzie mtoto wa kiume anaefanya kazi saluni ya kike na kazi yake imekua kusuka nywele wanawake. Pia tumzungumzie jamaa ambae kazi yake imekua ni kupika wali, ugali yaani yeye ni mpishi katika mgahawa.

Pia tumzungumzie jamaa ambae kazi yake amegeuka baamedi kuuza vinywaji baa.

MIMI BINAFSI HUWA NASHTUKA SANA NIKIWAONA KATIKA KAZI HIZO VIPI MITAZAMO YENU WAKUU
Kawaida watu hutumia fursa ambayo ipo,dada zetu siku hizi wamekuwa wakutegemea sana vya kupewa hvo kazi hawafanyi mtu ana mabwana watano ambao kwa cku tatu kila mmoja anaweza mpatia 20000 nk,so wazee lazima wafanye hizo kazi na kutumia fursa haswaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom