faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,725
Niko vzri kaka shaka ondoaMkuuu mara nying wanaotaga hvyo wanakuaga mapunga sasa cjui ww una element zp yan n ngum mtoto wa kiume kuota hvyo ni sawa na dem kuota anamgegeda m2 but ngoja wataalam waje kushaur
Japo umeficha maelezo Ila nimekuelewa. AsanteUnafi#@r,,,,w@ wèè
Iko vzriVipi mkuu malinda unayo kwani...
Mkuu, jf kumejaa wahuni wahuni tu siku hizi.Comments za wachangiaji zinatosha kuonyesha kuwa Jf imepoteza credibility, sio Jf ile tena ambayo ilikuwa kisima cha maarifa na ushauri wenye tija! Kwani kuna shida gani mtu ukipita kimya kama hauna ushauri juu ya kilichoulizwa, je ni azima kukoment ujinga ili uonekane upo? Badilikeni wadau ama nendeni huko fb ndio pamejaa jamii ya vilaza. Asante
Inasikitisha sana mkuu. Hili swala kuna mtu amelifungulia uzi wa malalamiko lkn naona mods wameupoteza. Sijui tatizo liko wapi, kuna watu wamekata tamaa hata majibu yao yanaonyesha kbs!Mkuu, jf kumejaa wahuni wahuni tu siku hizi.
Asante sanaNdoto ni unabii tulioachiwa na Mwenyezi Mungu. Huwa sifanyi mash’s na ndoto. Omba kwa dini yako na umtafute kiongozi wa dini umweleze hili. Lina ujumbe mkubwa usilidharau.
Watu wataanza kukaa na mambo yao vifuani maana wanajua wakileta hapa hawatapata chochote zaidi ya kejeli tu. Jf itakuwa sehemu ya kupiga porojo tu na si sehemu ya kujifunzia kama ilivyozoeleka.Inasikitisha sana mkuu. Hili swala kuna mtu amelifungulia uzi wa malalamiko lkn naona mods wameupoteza. Sijui tatizo liko wapi, kuna watu wamekata tamaa hata majibu yao yanaonyesha kbs!
Mkuu, jf kumejaa wahuni wahuni tu siku hizi.
Inasikitisha sana mkuu. Hili swala kuna mtu amelifungulia uzi wa malalamiko lkn naona mods wameupoteza. Sijui tatizo liko wapi, kuna watu wamekata tamaa hata majibu yao yanaonyesha kbs!