Bongo maternity leave 12 weeks, paternity 5 days, malipo full.
US maternity kuanzia 0 weeks na kuendelea kutegemea na State, malipo nayo unakatwa same for paternity.
Sweden maternity miezi 16, paternity nayo miezi 16 ila nadhani mnagawa huo muda baba na mama, malipo ni complicated kidogo.
Nine moons; aah nimekosea ni 3 months, mashirika mengine ni 4.
Hilo la kuitwa martenity, labda Boflo anaweza tuelewesha vizuri inakuaje mwanaume apewe maternity na sio paternity!
Inategemea Γ±a utaratibu wa sehemu au nchi ufanyayo kazi. Nilipo martenity ni 16 weeks Γ±a partenity ni 4 weeks. Kwenye martenity unaweza una-extend mwezi au miezi bila malipo, huwa inaeleweka ukiomba hivyo.
BJ kuna nchi nyingine sasa hivi baadhi ya waajiri wanatoa maternity hadi ya mwaka mzima na mshahara 100%. Sasa ikitokea bahati wazazi ni waajiriwa wa muajiri huyo mmoja wanaweza kushare hiyo maternity leave mama akakaa nyumbami miezi 6 au 9 na baba naye akakaa nyumbani miezi 6 au 3 na wote wakapata mshahara wao wa 100%.
mhh! hapa ulisemaje
Hebu toka hapa! Yaani tuna-share leave! Kwani tumbo tumebeba wote!
Unanchekesha! Source: marehemu faizafoxy
Duh we kweli kongosho aka PancreaseKwani hii ni hansad??
Haya maneno wameniwekea
Mod naomba muongozo
:confused2πHivi hili suala haliko mahakamani kweli)??!!