umesahau na kupigia punyeto pia....Huku mkoani jamaa ni sabuni, tunaoshea vyombo, kuogea na tunafulia. Jiwe moja huua zaidi ya ndege mmoja.
Tena ukiniletea imperial leather ninajipaka jioni baada ya kuoga ni manukato yale
Watu wakijijini kazi kunywa gongo na vijana ndo wanaharibika kabisa walevi kupindukiawakati huo sisi huku mikoani tunakimbia, yyan ni mbio from kimara to posta
Wapoje?Hivi jamani sifa za mwanaume kamili ni zipi? Kwanini wanaume wa dar wapo hivi?
Kifo cha mende
Jf raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanaume wa dar hovo kabisa hata kutafuna miwa hawawezi hadi wakamuliwe juice.... hopeless kabisa
hadi kujali ngozi zetu nalo limekuwa tatizo ππππ vumbi la dar bacteria nyingiiii tuacheni tu tuogee imperialMwanaume wa Dar amezoea kuogea imperial leather akikuta kipande cha jamaa bafuni anatoka na kuomba sabuni ya kuogea
πππππ mamaeee wakinga wasenyota sana ππππActually wanaotakiwa kushikilia kombe ni Makete, they ate mzungu.
Niccas so crazy they kept saying huyu mzungu kibonge atakua mtamu tu?
Presumably Sanga argued 'Hapana' kisha Ndata akasema 'Huoni anafanana na nguruwe? Itakua naye ni mtamu kama nguruwe'
Sanga akasema 'Haiwezekani tutajuaje sasa' Ndata akajibu huku anainua panga'Kuna namna moja tu ya kujua'
So they stormed off hunted down huyo mzungu and the next thing you know they had a human barbaque.
A mzungu barbague to be precise.
So Tanzania nzima ni waKinga pekee ndiyo wanajua utamu wa nyama ya mzungu.