Mwanaume KAMILI

Mambo ya kupiga picha mke wangu na nyumba yangu umeanza linj wewe mbuzi
Shubaaaamitt!!!
 
Tafiti za wapi hizi? Real define of a man is he must poses penis baaasi mengne ni njama tu za kununua wapinzani kwenda CCM
 
Hizo mbwembwe ulizoandika hapo juu sio kwa wanaume wa dunia ya Leo. Kwanza mwanaume ni muda mwingi hutumia akili sana na hapendi kuumiza mwanamke na nini ndoto na matarajio ya wanaume wengi kabla ya kuoa kufanya yote uliyoyaandika hapo juu,shida huja pale mambo aliyoyatarajia yote sio matokeo yake anakuwa na stress kibao na njia pekee no kutafuta kitu cha kumpunguzia stress.

Hujafikiria tu kwa nini mwanaume alikuwa anakujali sana na sasa kabadilika?jibu in kwamba mwanamke ni chanzo cha mabadiliko ya mwanaume yeyote. Kwa hiyo mtuache wanaume kabisaa tulilax. Wengi wameamua kuanza kuchelewa kurudi nyumbani na kuanza kunywa ili kujipa faraja.
Mwisho,niwakumbushe ninyi viumbe(wanawake) kuwa katika dunia hii kiumbe kinachoongoza kuwa kipole,amani na upendo wa kweli ni Mwanaume pekee kama unabisha muulize baba yako.
 
Kulilax ni haki yako ya msingi kabisa beevenom so go ahead and lilax!!!
 
Hivi jamani sifa za mwanaume kamili ni zipi? Kwanini wanaume wa dar wapo hivi?

Kifo cha mende
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…