ameona unashusha mapoint anahisi una utamu wa kipekee sasa anaweweseka,kwa jinsi ulivyotiririka kila mwanaume atahisi kuna la ziada kwako,kama ni hivyo hongera sana ila isiwe unataka wenzako wawe kamili halafu wewe huna chochote.
Hahahaaaa umenifurahisha sana hapo mkuu ila haka ka cm hakana kitufe cha like ningekupa bana maana hawa dada zetu hawa wanapenda kuongelea bamia kana kwamba ndo mwanaume eti.
Lizzy, hayo yoote uliyoandika hata mwanamke anaweza kuwa nayo so, Mwanamme Kamili ni Yule anayeweza Kile mwanamke asichoweza kufanya na mwanamke akaridhika. Hayo mengine ni by the way