Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
MWANAUME KAMA UNA TABIA | SIFA HIZI, TAFADHALI ACHANA NA MASUALA YA NDOA | KUOA HADI PALE UTAKAPOAMUA KUKUBALIANA NA HALI HALISI
Ndoa si ya kila mtu Ndugu zangu, kama bado hujajiandaa kiakili, kimwili na kitabia.
Ukijiona Bado Una hizi Tabia hapa Chini, Basi Usioe | Usivute Jiko
🚩 Una hasira kali na huwezi kujidhibiti
Unatabia ya kupiga wanawake, au unaishi kwa makelele na vitisho. Hii ni hatari kwa afya ya mke na watoto kimwili na kiakili. Utajenga nyumba ya hofu, sio familia.
🚩 Unaamini mwanamke ni chombo cha starehe na kuzaa tu ..Huna heshima. Utamuona mke kama “object” badala ya partner.
Ndoa itakuwa mateso ya kihisia na kiakili kwake.
🚩 Huwezi kusikiliza au kuheshimu mawazo ya mke kwa sababu “ni mwanamke”
Huu ni udhalilishaji wa kijinsia. Hakutakuwa na mawasiliano yenye afya wala usawa.
🚩 Una Ego mbaya, huwezi kusema “samahani Am sorry”
Kama kuomba msamaha ni udhaifu kwako, bado hujakomaa.
🚩 Unaamini kazi za nyumbani ni za mwanamke tu
Mke wako ni human ana deserve kusaidiwa nayo ni love language. Akiwa mgonjwa au mjamzito, utamuacha ateseke?
🚩 Unaamini kuwa kitombi ,kuwa na wanawake wengi ni kawaida kwa mwanaume Kwamba wanaume wameumbwa hivyo Achana na ndoa .
🚩 We ni mvivu Utakuwa mzigo kwa mke na watoto.familia itateseka
🚩 Kama unaoa kwa sbabu tu ya sura ,shepu na ma-tacore usioe kwanza bado we ni mvulana subiri ukue kue
🚩 Una uraibu (ulevi, kamari, madawa)
Fedha zitaisha, heshima itaisha, familia itaumia kifedha na kihisia.
🚩 Huna huruma .. ndoa itakuwa mateso.
🚩 Una tabia ya controlling kupita kiasi/ Una wivu wa kupindukia usio na msingi Ukigeuza wivu kuwa upelelezi, vitisho hiyo sio ndoa, ni kifungo.
Kama una hizi sifa, KATAA NDOA bora usioe ili usiharibu maisha ya mwanamke.
Ndoa ni Usawa, Heshima na kujenga pamoja si KUDHALILISHA!
💪 Tafuta msaada au baki peke yako !