Kumbe hapa panajadiliwa mizengwe?
Hivi laki 7 nayo ni pesa eh? Inatosha kunywa supu ngapi, bia ngapi na mileage kiasi gani?
Umepewa taarifa kuwa mkeo wa ndoa kakaa na hawara yake bar, ile unafika pande zile unamsikia hawara yake akimwambia mkeo "beby chukua hizi laki saba kampe mumeo mwambie kesho ila ikifika mwisho wa mwezi nitakupia tukutane nikupe milioni 80 umpatie afanye biashara ili awe bize asitusumbue baby wangu" Je! kama ndio wewe utaanzisha mtiti au utazisubiri hizo milioni 80?

sio wa sasa hata wa zamani.kwa wanaume wa sasa watazingoja hizo 80m
sio wa sasa hata wa zamani.
1990s Kuna OCD mmoja wa Tanga alimfumania mke wake na tajiri mmoja(alikuwa na mabasi fulani maarufu), tajiri akaomba msamaha akampa OCD kigari fulani hivi, OCD akachukua akatulia. Siku nyingine akamfumania tena, OCD akawa mkali akapewa gari nyingine, OCD akatafakari akaona akubali kuichukua gari ya pili, baada ya hapo akamtaliki mke akabaki na magari yake mawili akaoa mke mwingine.