Mwanaume jichunge sana tena sana

Mwanaume jichunge sana tena sana

Kuna mwanaume kalalamika kuwa mke kafungua Pub hebu ngoja niendelee kusoma comment nione kama naweza unganisha
 
Kuna mwanaume kalalamika kuwa mke kafungua Pub hebu ngoja niendelee kusoma comment nione kama naweza unganisha
ha ha ha mtalia sana na bahati mbaya nyota ya hela huwaga anayo mwanamke sema mnacheza kete vbaya.
 
Me too wakati mwingine siamini kama kuna wanaume wa hivyo, yaani mkeo akipata kazi uwe na wivu, daaahhhh aseee sijuu tu, yaan yaaanii sijui nisemaje Mungu tuhurumie
 
Back
Top Bottom