ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,388
kwenu wanaume wa hivi
pesa unayo ila humtengei mkeo mwisho wa mwezi hela ya saloon.
mkeo hana kazi na kila akifanikiwa hatua za mwisho kupata kazi visingizio lukuki ili mkeo hiyo kazi aiache ufurahie kumuona akishinda hom na kaniki moja tangu zawadi ya harusi.
mwanaume hujui kuacha hela ya mboga ukirudi kula utasikia oooh hiki kichungu hakifai tonge moja tu ushaacha kula.
mwanaume kutoa hela hata yakununulia glass kwaajili ya wageni hujui siku unatengewa glass oooh hii glass inanuka nipe lile kombe kubwa.
mwanaume gani mkeo kaona kazi hutaki aajiriwe akianzisha kabiashara ni full magubu na visa ili aiache hiyo biashara
mwanaume nyumba ya ibada mpaka siku ya mazishi yako ndo unatambulika kuwa wewe ni dini gani..
nakuuliza mwanaume wa aina hiyo unajisikiaje? mwanaume kisirani, gubu muda wote, minuno, wivu wa kike hujisikii aibu? mwanaume kila litendekalo ndani ya nyumba ukoo mzima na majirani hadi marafiki utawaambia wewe ni wa aina gani? mwanaume unapiga simu ukiongea na mama yako maongezi yenu ni ya kumteta mtu flani masaaa zaidi ya 4 hiivi hujajistukia unakaribia homoni za kike?
wanaume wa namna hiyo mbadirike mnatia aibu tena sana.