Mwanaume jichunge sana tena sana

Mwanaume jichunge sana tena sana

kwenu wanaume wa hivi

pesa unayo ila humtengei mkeo mwisho wa mwezi hela ya saloon.

mkeo hana kazi na kila akifanikiwa hatua za mwisho kupata kazi visingizio lukuki ili mkeo hiyo kazi aiache ufurahie kumuona akishinda hom na kaniki moja tangu zawadi ya harusi.

mwanaume hujui kuacha hela ya mboga ukirudi kula utasikia oooh hiki kichungu hakifai tonge moja tu ushaacha kula.

mwanaume kutoa hela hata yakununulia glass kwaajili ya wageni hujui siku unatengewa glass oooh hii glass inanuka nipe lile kombe kubwa.

mwanaume gani mkeo kaona kazi hutaki aajiriwe akianzisha kabiashara ni full magubu na visa ili aiache hiyo biashara

mwanaume nyumba ya ibada mpaka siku ya mazishi yako ndo unatambulika kuwa wewe ni dini gani..

nakuuliza mwanaume wa aina hiyo unajisikiaje? mwanaume kisirani, gubu muda wote, minuno, wivu wa kike hujisikii aibu? mwanaume kila litendekalo ndani ya nyumba ukoo mzima na majirani hadi marafiki utawaambia wewe ni wa aina gani? mwanaume unapiga simu ukiongea na mama yako maongezi yenu ni ya kumteta mtu flani masaaa zaidi ya 4 hiivi hujajistukia unakaribia homoni za kike?

wanaume wa namna hiyo mbadirike mnatia aibu tena sana.

Poa
 
Hahahahaaa eti mpaka siku ya mazishi yako ndiyo ujulikane wew dini gani .....

Jamaniii mi sitakiiii hahahahaaa nbavu zanguuu
 
kwenu wanaume wa hivi

pesa unayo ila humtengei mkeo mwisho wa mwezi hela ya saloon.

mkeo hana kazi na kila akifanikiwa hatua za mwisho kupata kazi visingizio lukuki ili mkeo hiyo kazi aiache ufurahie kumuona akishinda hom na kaniki moja tangu zawadi ya harusi.

mwanaume hujui kuacha hela ya mboga ukirudi kula utasikia oooh hiki kichungu hakifai tonge moja tu ushaacha kula.

mwanaume kutoa hela hata yakununulia glass kwaajili ya wageni hujui siku unatengewa glass oooh hii glass inanuka nipe lile kombe kubwa.

mwanaume gani mkeo kaona kazi hutaki aajiriwe akianzisha kabiashara ni full magubu na visa ili aiache hiyo biashara

mwanaume nyumba ya ibada mpaka siku ya mazishi yako ndo unatambulika kuwa wewe ni dini gani..

nakuuliza mwanaume wa aina hiyo unajisikiaje? mwanaume kisirani, gubu muda wote, minuno, wivu wa kike hujisikii aibu? mwanaume kila litendekalo ndani ya nyumba ukoo mzima na majirani hadi marafiki utawaambia wewe ni wa aina gani? mwanaume unapiga simu ukiongea na mama yako maongezi yenu ni ya kumteta mtu flani masaaa zaidi ya 4 hiivi hujajistukia unakaribia homoni za kike?

wanaume wa namna hiyo mbadirike mnatia aibu tena sana.
Tafta kazi ili nawe uwe na pesa zako sio kutegemea za mumeo
 
Ni vyema ukam_face mlengwa directly na unaonesha dhahiri hujafundwa ipasavyo kwan umesahau hata mlio wa ngoma siku ya kutoka,hvyo ungekuwa my wife ningekurudisha kwa somo kwa mafunzo zaid
 
unajidanganya kuwa utajifundisha kila kitu kuhusu ndoa ukiwa nje afu ndo uingie?

My friend, you have a long way to go.
lkn kujua kabla inasaidia kuweka moyo wako utayari wa jambo fulani.
 
Kumbe huko kwenye ndoa kuna hayo pia, naendelea kujifunza...

Umebugi hapo, yaani uzuri wa ndoa unapewa cheti kabla ya kuqualify, tofauti na vyeti vingine unamaliza unafanyiwa tathmini unapewa.
 
ushaumizwa wewe na unakaribia au ushaanza kuchepuka...
 
Pole sana kaa nae chini umsomee yote uliyoyaandika hapa atakuelewa.
 
Back
Top Bottom