Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,492
Pengine anafanya kazi car wash analirudisha kwa boss.
kwani kipimo cha kua mwanaume haswa ni Range??
kwani kipimo cha kua mwanaume haswa ni Range??
Hicho ndo kipimo cha ''mama mkwe'' karibia wote... Hata wewekwani kipimo cha kua mwanaume haswa ni Range??
Pengine anafanya kazi car wash analirudisha kwa boss.
Hicho ndo kipimo cha ''mama mkwe'' karibia wote... Hata wewe
nimependa hii!!!Unamyamazia tuu kimnyaa... mwanamme mambo mengine unapuuzia hasa maneno yakipuuzi ...
Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed.
Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA".
Je, kama ni wewe ungefanyaje?
NB: Nimecopy somewhere!
Kwani mnajali hayo..???? Mbona tunawaona mabarabani.... utakuta gari mwili mzima limeandikwa SERENGETI BREWERIS AU VODA, AU TBL.... etc ect lakini mnahangaika kweli kweli...sio kweli..pengine uyo ni dereva tu..kaagizwa
Kwani mnajali hayo..???? Mbona tunawaona mabarabani.... utakuta gari mwili mzima limeandikwa SERENGETI BREWERIS AU VODA, AU TBL.... etc ect lakini mnahangaika kweli kweli...
huyo mama mkwe atakuwa MCHAGGA.....
umeona ee1 kauli kama hizo sio nzuri..ndo zinazalisha wezi na mafisadi tu
Yaani mama mkwe ataka kwenda Dubai?!!!!
yeuwiiiii.Kweli kina Mushi wataongezeka kila siku.
Me namshusha kwenye gari.
Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed.
Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA".
Je, kama ni wewe ungefanyaje?
NB: Nimecopy somewhere!
Mtu anaweza kwenda iba ili kumridhisha Mama Mkwe tu:car: