King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,384
- 99,194
Noma sana gari kama VIP Lounge Hotelini.
Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed.
Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA".
Je, kama ni wewe ungefanyaje?
NB: Nimecopy somewhere!