Well huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake.
So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana.
Hivi huna hata assets za maana, hauna uwekezaji wowote wa maana ulionao wa kuacha legacy and you have the guts kusema "mwanaume hazeeki"! My friends thiiiiiiiink. Au huwa mnafikiri kuwa mwanaume ni kumwaga mbegu tu?
Hivyo sasa, ukitaka usizeeke anza sasa kutengeneza legacy(if you still have time and balls though) kwa wale ambao mshazeeka ikiwa bado mko 20's, 30's or 40's basi enjoy uzee while it still lasts.