Uvelia
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 640
- 1,192
Well huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake.
So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana.
Hivi huna hata assets za maana, hauna uwekezaji wowote wa maana ulionao wa kuacha legacy and you have the guts kusema "mwanaume hazeeki"! My friends thiiiiiiiink. Au huwa mnafikiri kuwa mwanaume ni kumwaga mbegu tu?
Hivyo sasa, ukitaka usizeeke anza sasa kutengeneza legacy(if you still have time and balls though) kwa wale ambao mshazeeka ikiwa bado mko 20's, 30's or 40's basi enjoy uzee while it still lasts.
Updates:
Naona wanaume mmepanik kweli, but nazielewa hizo hasira. Poleni sana, mjilaumu ninyi na waliowatangulia maana hawakuwaachia chochote cha kuwa proud nacho. Me and my young brother tunawashukuru wazazi wetu maana hata ipite 100 years legacy walioiacha na kuijenga itakuwepo.
Sasa badala ya kushinda na kulala jf mkirushiana vijembe na wanawake na kujisifia kwenye hamna go work, build yo kingdom. Work for you and your generation. Lasivyo uzee unakutafuta mmebakia kujisifia uume tu ambao pia hauna faida kama unaendelea kutujazia wategemezi duniani.